-
Ban ataka kufanyike uchunguzi kuhusu shambulizi la Saudia dhidi ya soko Yemen
Feb 29, 2016 03:37Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kufanyika uchunguzi haraka kuhusu shambulizi la anga lililolenga soko lililokuwa na watu wengi nchini Yemen.
-
Ban: Mkataba wa amani Sudan Kusini utekelezwe
Feb 26, 2016 12:47Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito wa kutekelezwa mapatano ya amani Sudan Kusini.
-
Kabila: Umaskini ni adui mkubwa wa Afrika
Feb 24, 2016 22:45Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa umaskini ndio adui mkubwa wa watu wa eneo la Maziwa Makuu ya Afrika.
-
Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi
Feb 24, 2016 07:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliwasili nchini Burundi wiki hii katika juhudi za kuutafutia suluhisho mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Ban Ki-moon atembelea kambi ya wakimbizi Goma, DRC
Feb 24, 2016 04:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon baada ya kutoka Burundi ameelekea Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo ametembelea kambi ya wakimbizi.
-
Ban Ki-Moon awasili Burundi, kukutana na Nkurunziza
Feb 23, 2016 04:24Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewasili nchini Burundi katika kile kinachoonekana ni kujaribu kuupatia ufumbuzi mzozo wa kisiasa wa nchi hiyo.