Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i1846-ziara_ya_katibu_mkuu_wa_umoja_wa_mataifa_nchini_burundi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliwasili nchini Burundi wiki hii katika juhudi za kuutafutia suluhisho mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Feb 24, 2016 07:12 UTC

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliwasili nchini Burundi wiki hii katika juhudi za kuutafutia suluhisho mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

Siku ya Jumanne Ban Ki moon alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Pierre Nkurunziza na viongozi wengine wa kisiasa nchini humo. Kadhalika alifanya mazungumzo na asasi za kijamii na mashirika ya kutetea haki za binadamu.

Mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa na ripoti zaidi...