Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ban Ki moon

  • Ban Ki-moon: JCPOA ni mfano mzuri wa kutatuliwa mgogoro wa Rasi ya Korea

    Ban Ki-moon: JCPOA ni mfano mzuri wa kutatuliwa mgogoro wa Rasi ya Korea

    Feb 11, 2018 04:31

    Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, ameyaelezea mapatano ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi 6 kubwa za dunia yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA kuwa ni mfano mzuri kwa ajili ya kutatuliwa mgogoro wa Rasi ya Korea.

  • Ban Ki-moon afanya mkutano wa mwisho na waandishi habari akiwa Katibu Mkuu wa UN

    Ban Ki-moon afanya mkutano wa mwisho na waandishi habari akiwa Katibu Mkuu wa UN

    Dec 17, 2016 07:41

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amefanya mkutano rasmi wa mwisho na waandishi wa habari mjini New York ikiwa ni takribani majuma mawili kabla ya kumaliza awamu ya pili na ya mwisho ya uongozi wake katika chombo hicho .

  • Kuapishwa Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa na changamoto zinazoukabili umoja huo

    Kuapishwa Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa na changamoto zinazoukabili umoja huo

    Dec 14, 2016 04:24

    Antonio Guterres, Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu alikula kiapo katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ikiwa ni siku chache tu kabla ya kukabidhiwa rasmi ofisi ya Katibu Mkuu wa UN.

  • Ban ataka watu wenye ulemavu washirikishwe katika maendeleo

    Ban ataka watu wenye ulemavu washirikishwe katika maendeleo

    Dec 03, 2016 13:38

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito wa kujumuishwa kikamilifu watu wenye ulemavu katika shughuli za maendeleo.

  • Katibu Mkuu wa UN ataka watu wenye Ukimwi wasaidiwe

    Katibu Mkuu wa UN ataka watu wenye Ukimwi wasaidiwe

    Dec 01, 2016 15:01

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusaidiwa waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi.

  • UN yalaani machafuko Jamhuri ya Afrika ya Kati

    UN yalaani machafuko Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Nov 29, 2016 07:05

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali machafuko ya hivi karibuni katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR)

  • Ban Ki-moon aiomba Afrika Kusini isijiondoe ICC

    Ban Ki-moon aiomba Afrika Kusini isijiondoe ICC

    Nov 01, 2016 02:47

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amempigia simu Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na kumsihi afute uamuzi wa nchi hiyo kujiondoa ICC.

  • Wakati Umoja wa Mataifa unaposhindwa kuwa mkweli kuhusu mgogoro wa Syria

    Wakati Umoja wa Mataifa unaposhindwa kuwa mkweli kuhusu mgogoro wa Syria

    Oct 28, 2016 07:17

    Bashar al Jaafari, mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa na Vitaly Churkin, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika umoja huo wamekosoa vikali hatua ya maafisa wa UN wanaotoa ripoti za upendeleo na za upande mmoja kuhusiana na mgogoro wa Syria. Ikumbukwe kuwa hivi sasa Russia ndiye mwenyekiti wa Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa.

  • HAMAS yalaani msimamo wa Katibu Mkuu wa UN dhidi ya UNESCO

    HAMAS yalaani msimamo wa Katibu Mkuu wa UN dhidi ya UNESCO

    Oct 20, 2016 07:49

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imemkosoa vikali Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa kuunga mkono sera za kujipanua za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • UN yataka msaada wa Iran kuhusu migogoro ya Syria, Yemen

    UN yataka msaada wa Iran kuhusu migogoro ya Syria, Yemen

    Sep 22, 2016 04:25

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametaka msaada wa Iran katika kutafutia suluhisho la kudumu migogoro inayotokota Syria na Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS