-
Umoja wa Ulaya wazitaka pande hasimu Gabon kuvumiliana
Sep 02, 2016 04:14Umoja wa Ulaya umeitaka serikali na wapinzani nchini Gabon kuvumiliana na kudumisha amani.
-
Ban Ki-moon: Atakayechukua nafasi yangu awe mwanamke
Aug 16, 2016 15:42Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema mwanamke ndiye anayepasa kuuongoza Umoja wa Mataifa kwa mara ya kwanza tangu ulipoanzishwa zaidi ya miaka 70 iliyopita.
-
Tahadhari ya UN juu ya kupenya wanachama wa Daesh Afrika
Jul 20, 2016 08:02Hivi karibuni Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, aliwasilisha ripoti ya siri mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na hatari ya kuenea kwa ugaidi, kupenya kwa kundi la Daesh (ISIS) na makundi mengine ya kigaidi kutoka nje ndani ya Libya na nchi nyingine za Afrika.
-
Majina ya watoto waliouawa na Saudia wa Yemen yawekwa juu ya meza ya Ban Ki-moon
Jul 16, 2016 04:34Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen, Muhammad Ali al Huthi amemtumia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon orodha ya mamia ya majina ya watoto wa Yemen waliouawa katika mashambulizi ya Saudi Arabia nchini humo.
-
Ban Ki-moon alaani mashambulizi ya kigaidi huko Istanbul Uturuki
Jun 29, 2016 07:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa kwenye uwanja wa ndege wa Istanbul Uturuki.
-
Ban: Israel inawaumiza Wapalestina kwa mzingiro wake Ghaza
Jun 29, 2016 04:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amelaani mzingiro wa Israel huko Ukanda wa Ghaza na kusema unawaumiza Wapalestina na kuharibu uchumi wao.
-
Putin na Ban Ki-moon wajadili kadhia ya Syria
Jun 17, 2016 07:06Rais Vladimir Putin wa Russia na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon wamekutana na kujadili kadhia ya Syria.
-
Ban Ki-moon asisitiza mgogoro wa Syria kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo
Jun 15, 2016 15:35Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa mgogoro wa Syria unapasa kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya mazungumzo.
-
Ban Ki-moon asisitiza udharura wa kuungwa mkono mapambano dhidi ya Boko Haram
Jun 14, 2016 14:36Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amezitaka nchi za eneo la katikati mwa Afrika kuwaunga mkono askari jeshi wa mataifa kadhaa yanayoshiriki katika mapambano dhidi ya Boko Haram.
-
Katibu Mkuu wa UN apongeza hatua jumuishi za Rais wa CAR za kutatua mgogoro
Jun 12, 2016 04:30Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepongeza hatua ya rais mpya wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Faustin Archange Touadéra ya kushughulikia chimbuko la mgogoro wa nchi hiyo kwa kushirikisha pande zote nchini humo.