-
Ban Ki moon aomboleza kifo cha Muhammad Ali
Jun 05, 2016 14:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mkono wa pole kufuatia kifo cha bingwa na nguli wa ndondi duniani, Muhammad Ali.
-
Ombi la kufanyika mazungumzo mapana nchini Burundi
May 29, 2016 03:52Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kufanyika mazungumzo mapana kati ya wapinzani na serikali ya Burundi.
-
Wito wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa kuongezwa misaada ya kibinadamu
May 23, 2016 13:11Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema umoja huo unawataka viongozi wa nchi duniani kutekeleza ahadi zao za kuongeza michango yao kwa watu wanaohitaji misaada.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kulihutubia Bunge la Madagascar leo
May 11, 2016 07:34Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anatazamiwa kulihutubia Bunge la Madagascar hii leo, kabla ya kukutana na kufanya mazungumzo na rais wa nchi hiyo.
-
Ban atiwa uchungu na suala la wakimbizi wa Palestina
May 05, 2016 04:38Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ameeleza kutiwa uchungu na suala la hatima ya wakimbizi wa Palestina wapatao milioni 5.2, ambalo halijapatiwa suluhu kwa muda mrefu.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa apongeza kuundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa Sudan Kusini
Apr 30, 2016 04:09Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kuundwa serikali ya عmoja wa نitaifa nchini Sudan Kusini baada ya Rais Salva Kiir wa nchi hiyo kuliapisha baraza jipya la mawaziri na kuzitaka pande husika zikamilishe hatua zote za kuunda taasisi za serikali hiyo ya mpito.
-
Rais Joseph Kabila wa DRC aonana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Apr 24, 2016 14:49Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameonana na Ban Ki mooon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kujadiliana naye hali ya kisiasa na kiusalama ya nchi hiyo.
-
Ban amtaka Machar kurejea Juba
Apr 23, 2016 06:35Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amemtaka kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini, Rieck Machar arejee katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba.
-
Ban: Mkataba wa tabianchi ni kwa ajili ya vizazi vijavyo
Apr 22, 2016 16:28Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesema jitihada za kupambana na mabadiliko ya tabianchi ni kwa ajili ya vizazi vijavyo, wakati ambapo kila siku rekodi za uchafuzi wa hali ya hewa zinavunjwa.
-
Ban Ki-moon atahadharisha kuhusu kuenea hujuma za kundi la Daesh
Apr 09, 2016 04:00Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuenea harakati za kundi la kigaidi la Daesh kote ulimwenguni.