-
Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda
Apr 08, 2016 08:00Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema siku ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda hapo mwaka 1994 ni siku ya kutoa heshima kwa wahanga wa mauaji hayo na kuzidisha upendo kwa ajili ya kuimarisha uadilifu kote duniani.
-
Katibu MKuu wa UN: Mgogoro wa Syria hautatuki kwa mtutu wa bunduki
Apr 03, 2016 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesisitiza kwa mara nyengine tena kuwa mgogoro wa Syria hauwezi kutatuliwa kwa kutumia nguvu za kijeshi.
-
Ban apongeza kuingia Tripoli Baraza la Urais la Libya
Apr 01, 2016 07:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekaribisha kuwasili kwa Baraza la Urais la Libya mjini Tripoli mnamo Machi 30, 2016, akitaja kuwasili huko kama hatua muhimu katika kutekeleza makubaliano ya kisiasa ya Libya.
-
Katibu Mkuu wa UN ashtushwa na madai mapya ya unyanyasaji wa kingono Jamhuri ya Afrika ya Kati
Apr 01, 2016 04:18Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema ameshtushwa na ripoti za matukio mapya ya kashfa za unyanyasaji wa kingono uliofanywa na askari wa kulinda amani wa umoja huo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la ubaguzi duniani
Mar 19, 2016 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amebainisha wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la ubaguzi na ghasia inayohusiana na chuki za kibaguzi duniani kote.
-
Morocco yaendelea kulalamika dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Mar 18, 2016 16:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco Salahuddin Mizwar, amesema nchi yake ina hitilafu na malalamiko dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa binafsi.
-
Shambulizi dhidi ya msikiti Nigeria laendelea kulaaniwa
Mar 18, 2016 14:42Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti nchini Nigeria na kuua watu 25.
-
Ban alaani jinai mpya za Saudia nchini Yemen
Mar 17, 2016 09:24Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani jinai mpya zilizofanywa na utawala wa Saudi Arabia baada ya kushambulia soko la Khamis katika mkoa wa Hajjah huku kaskazini magharibi mwa Yemen.
-
Ban ataka askari waliobaka wanawake waadhibiwe
Mar 11, 2016 01:43Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuchukuliwa hatua kali dhidi ya askari wa kulinda amani wa kimataifa waliohusishwa na vitendo vya kunajisi wanawake.
-
Magaidi wa ISISI wanaenea kwa kasi ya kuogofya Libya
Mar 06, 2016 02:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameonya kuwa magaidi wakufurishaji wa Daesh wanaenea kwa kasi ya kuogofya nchini Libya.