-
HRW: Jeshi la Myanmar liadhibiwe kwa kutekeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu
Sep 18, 2017 13:57Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetaka vikwazo vikali vya kimataifa viwekewe Jeshi la Myanmar kutokana na kampeni yake ya kutekeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Bangladesh: Kuanzishwe eneo salama jimbo la Rakhine ili kuwanusuru Waislamu wa Rohingya
Sep 10, 2017 02:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Bangladesh ametaka kuanzishwa eneo salama katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar kwa ajili ya kuzuia hujuma dhidi ya wakimbizi Waislamu wa kabila la Rohingya nchini humo.
-
Myanmar yatega mabomu ardhini katika mpaka na Bangladesh kuwazuia Waislamu kuondoka
Sep 06, 2017 07:57Inaarifiwa kuwa serikali ya Myanmar inatega mabomu ya ardhini katika mpaka wa nchi hiyo na Bangladesh ili kuwazuia Waislamu wa kabila la Rohingya kuondoka nchini humo.
-
Idadi ya Waislamu wa Rohingya wanaokimbilia Bangladesh inazidi kuongezeka
Sep 05, 2017 02:36Kufuatia kuendelea operesheni za jeshi la serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine, idadi kubwa ya Waislamu wa eneo hilo wameendelea kukimbia ili kuokoa maisha yao.
-
Warohingya 17 waghariki katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh
Aug 31, 2017 13:40Kwa akali wakimbizi 17 Waislamu wa kabila la Rohingya wamekufa maji katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh wakikimbia jinai wanazofanyiwa na Mabudha wenye misimamo ya kuchupa mipaka na jeshi la Myanmar.
-
Waliouawa kwa maporomoko ya ardhi Bangladesh wapindukia 130
Jun 14, 2017 07:54Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na maporomoko ya ardhi nchini Bangladesh imepindukia watu 130.
-
Kimbunga kikali cha Mura, chaifanya hali ya wakimbizi wa Rohingya kuwa mabaya zaidi huko Bangladesh
Jun 02, 2017 04:08Kimbunga kikali kinachoitwa Mura, kimeifanya hali ya Waislamu wa Rohingya wanaoishi nchini Bangladesh kuwa mbaya sana.
-
Lavrov: Magharibi inazuia kufanyika uchunguzi kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali Syria
Apr 14, 2017 04:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa nchi za Magharibi zinazuia kufanyika uchunguzi wa kuweka wazi uhakika kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali nchini Syria.
-
Makumi ya wahajiri haramu watiwa nguvuni Libya wakijaribu kuingia Ulaya
Mar 28, 2017 08:11Askari wa kikosi cha Gadi ya Pwani ya Libya wamewatia nguvuni wahajiri haramu 60 wenye uraia wa Bangladesh ambao walikuwa wanajaribu kuingia barani Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranean.
-
Kupelekwa Waislamu wa Myanmar katika kisiwa cha Bangladesh
Feb 01, 2017 08:04Serikali ya Bangladesh imesisitiza kutekeleza mpango wa kuwapatia makazi wakimbizi wa Kiislamu wa jamii ya Rohingya katika kisiwa cha Tangarchar katika Ghuba ya Bengal.