-
Waislamu wa Myanmar waandamwa na mateso ya kila upande
Nov 20, 2016 15:35Waislamu wa kabila la Rohingya wa nchini Myanmar waliokuwa wanakimbilia nchini Bangladesh kwa ajili ya kuokoa maisha yao kutokana na mauaji wanayofanyiwa na askari wa serikali ya mabudha nchini mwao, sasa wanazuia na gadi ya nchi kavu Bangladesh wasiingie tena nchini humo.
-
Umoja wa Mataifa: Tanzania ni ya kupigiwa mfano "elimu kwa wote"
Sep 20, 2016 13:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amesema kuwa, utashi wa kisiasa, matumizi ya Pato la Taifa na matumizi ya fursa mbalimbali unaifanya Tanzania kuwa moja ya nchi ya kupigiwa mfano katika uboreshaji na upatikanaji wa elimu kwa wote.
-
Magaidi wa ISIS waua watu 22 mgahawani Bangladesh
Jul 02, 2016 13:44Magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS (Daesh) wameua watu wasiopungua 22 katika ufyatuaji risasi uliojiri Ijumaa usiku mgahawani katika mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka.
-
Waziri: Israel inahusika na wimbi la mauaji linaloshuhudiwa Bangladesh
Jun 07, 2016 07:41Serikali ya Bangladesh imesema yumkini kuna mkono wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika wimbi la mauaji linaloendelea kushuhudiwa nchini humo.
-
Wabangali waandamana kulaani njama za kufuta Uislamu kuwa dini rasmi
Mar 26, 2016 08:12Maelfu ya wananchi wa Bangladesh wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo kukosoa kile walichokitaja kuwa njama za baadhi ya watu wanaojiita 'mashuhuri' nchini humo kutaka Uislamu usitambuliwe kuwa dini rasmi ya nchi hiyo.