Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Baytul Muqaddas

  • UNRWA yajibu vitisho vya Israel vya kusimamisha shughuli za shirika hilo la kimataifa

    UNRWA yajibu vitisho vya Israel vya kusimamisha shughuli za shirika hilo la kimataifa

    Jan 27, 2025 07:18

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa radiamali yake kwa vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kusitishwa shughuli za shirika hilo la Umoja wa Mataifa huko Baitul Muqaddas Mashariki.

  • OIC yatoa taarifa tena kuhusu yanayojiri Baitul Muqaddas na Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa

    OIC yatoa taarifa tena kuhusu yanayojiri Baitul Muqaddas na Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa

    Apr 09, 2023 02:17

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC kwa mara nyingine tena imelaani sera na hatua zote zinazochukuliwa na utawala vamizi na wa Kizayuni wa Israel kwa lengo la kufuta utambulisho wa mji mtukufu wa Baitul Muqaddas na kusisitiza kuwa, Msikiti wa Al-Aqsa ni mahala pa ibada kwa Waislamu peke yao na hatua za Wazayuni maghasibu zitavuruga amani na usalama wa eneo.

  • Israel kutekeleza njama mpya ili kuwaacha bila makazi Wapalestina 1550 wa Baitul Muqaddas

    Israel kutekeleza njama mpya ili kuwaacha bila makazi Wapalestina 1550 wa Baitul Muqaddas

    Mar 20, 2021 03:41

    Vyombo vya habari vya nchi za Kiarabu vimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeandaa mpango wa kubomoa nyuma zaidi ya 100 za Wapalestina katika mji unaoukalia kwa mabavu wa Baitul Muqaddas na kuwaacha Wapalestina wapatao 1550 bila mahali pa kuishi.

  • Yemen itaendelea kuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Yemen itaendelea kuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Dec 28, 2020 08:13

    Mjumbe mmoja wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, nchi hiyo ni miongoni mwa nchi zilizoko mstari wa mbele katika ukombozi wa Quds na Kibla cha Kwanza cha Waislamu

  • Jordan yasisitiza kuiunga mkono Quds na Palestina

    Jordan yasisitiza kuiunga mkono Quds na Palestina

    Dec 18, 2020 12:01

    Mfalme wa Jordan amesisitiza kuiunga mkono nchi huru ya Palestina ambayo mji wake mkuu utakuwa Quds Tukufu.

  • Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Quds ni mstari wetu mwekundu

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Quds ni mstari wetu mwekundu

    Dec 16, 2020 07:40

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina imesema kuwa Quds na matukufu yake ni mstari mwekundu wa Wapalestina.

  • Israel yapanga kwa siri na Saudia namna ya kuwatwisha Wapalestina

    Israel yapanga kwa siri na Saudia namna ya kuwatwisha Wapalestina "Muamala wa Karne"

    Jun 01, 2020 09:51

    Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limeripoti kuwa, kumefanyika mazungumzo ya siri baina ya viongozi wa Israel na Saudi Arabia kuhusu kupewa Wasaudia usimamiaji wa maeneo matukufu ya mji wa Baytul Muqaddas kama sehemu ya utekelezaji wa mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne na kukabiliana na ushawishi wa Uturuki.

  • Rais wa Iran: Michezo ya kisiasa haiwezi kuitenganisha Quds na Waislamu

    Rais wa Iran: Michezo ya kisiasa haiwezi kuitenganisha Quds na Waislamu

    May 16, 2018 14:06

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mji wa Quds au Baitul Muqaddas (Jerusalem) ambako ndiko uliko Msikiti wa Al Aqsa ni mji unaoheshimiwa na Waislamu wote na hivyo ardhi hiyo takatibu haiwezi kuteganishwa na Waislami zaidi ya bilioni moja na nusu duniani kwa mchezo wa kisiasa.

  • Taathira za maamuzi hatari ya Trump kuhusu Quds

    Taathira za maamuzi hatari ya Trump kuhusu Quds

    Feb 25, 2018 03:01

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi wa Marekani wa kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv na kuupeleka katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

  • Rais wa Uturuki: Quds ni mstari mwekundu kwa Ulimwengu wa Kiislamu

    Rais wa Uturuki: Quds ni mstari mwekundu kwa Ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 28, 2017 16:34

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuuwa, Quds ni mstari mwekundu kwa Ulimwengu wa Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS