-
Rais wa zamani wa Brazil ahukumiwa kifungo cha miaka 27 jela kwa kuhusika na jaribio la mapinduzi
Sep 12, 2025 10:27Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu jela baada ya jopo la Mahakama Kuu kumpata na hatia ya kufanya jaribio la kuipindua serikali.
-
Uchunguzi: Akthari ya Waisrael wanaamini hakuna Mpalestina yeyote Ghaza 'asiye na hatia'
Aug 28, 2025 06:07Uchunguzi wa maoni uliofanywa na shirika moja katika utawala wa kizayuni wa Israel umefichua kuwa idadi kubwa ya Wayahudi wa Israel wanaamini kwamba hakuna watu wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza.
-
Je, nchi za Amerika ya Kusini zimepokea vipi mpango wa Israel wa kukalia kwa mabavu Gaza?
Aug 16, 2025 02:17Nchi nyingi za Amerika ya Kusini zimekuwa na misimamo ya kukosoa waziwazi mpango wa utawala wa Kizayuni wa kuikalia kijeshi Gaza. Bila shaka, baadhi ya nchi, kama vile Argentina, zimechukua msimamo tofauti wa kuiunga mkono Tel Aviv.
-
Nchi zinazoibukia kiuchumi zimejibu vipi vita vya ushuru vya Trump?
Aug 09, 2025 11:29Mataifa matatu yanayoinukia kiuchumi, Brazil, India na Uchina, yamejibu vikali hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kupandisha ushuru wa forodha kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
-
Lula: Brazil haitaisahau namna Marekani ilivyosaidia kufanya mapinduzi
Aug 04, 2025 07:37Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amesema kuwa nchi yake haitasahau namna Marekani ilivyosaidia kufanya mapinduzi nchini Brazil. Rais Da Silva amelaani hatua ya Washington ya kiwekea nchi yake mashinikizo ya kisiasa na kiuchumi.
-
Brazil yajiunga katika kesi ya ICJ dhidi ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza
Jul 24, 2025 06:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Brazili imetangaza kuwa iko katika "hatua za mwisho" za kuwasilisha mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ uamuzi wa kujiunga na kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel kwa kuhusika na mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza.
-
Rais wa Brazil asema, Trump ni rais wa Marekani, si ‘mtawala mkuu’ wa dunia
Jul 18, 2025 06:57Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amepinga tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza ushuru wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kutokana nchini humo, na kuapa kuwa "atajibu mapigo" dhidi ya hatua hiyo na kutetea maslahi ya watu wake.
-
Kwa nini Trump amemwekea vikwazo Rais wa Cuba?
Jul 13, 2025 14:00Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza vikwazo vipya vya fedha dhidi ya Rais wa Cuba Miguel Díaz-Canel na maafisa wengine waandamizi wa nchi hiyo pamoja na marufuku ya usafiri kwa kisingizio cha kukandamiza maandamano ya amani yaliyofanyika mwaka 2021.
-
Kwa nini nchi za Amerika ya Latini zimejiunga na safu ya wakosoaji wa Israel?
Jun 04, 2025 02:27Rais Lula da Silva wa Brazil amesisitiza katika matamshi yake kwamba kinachoendelea Gaza si vita bali ni mauaji ya halaiki. Alifafanua: Tunachoshuhudia huko Gaza hivi sasa si vita kati ya majeshi mawili hata kidogo, bali kuna jeshi moja tu lenye weledi kamili ambalo linaua wanawake na watoto wa Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Israel lamuua Msemaji wa HAMAS katika muendelezo wa mauaji ya kimbari Ghaza
Mar 27, 2025 05:57Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limemuua shahidi Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS Abdel-Latif al-Qanoua, katika shambulio la kigaidi usiku wa manane wa kuamkia leo lililolenga eneo la Jabalia kaskazini, katika Ukanda wa Ghaza.