-
Da Silva: Tutalipiza kisasi dhidi ya ushuru wa Trump
Jan 31, 2025 13:29Rais wa Brazil ametangaza kuwa: "Iwapo Donald Trump atatoza ushuru kwa bidhaa za Brazil, tutachukua hatua sawa za kulipizia kisasi."
-
Brazil yaishutumu US baada ya wahajiri waliofukuzwa kuwasili wakiwa wamefungwa pingu
Jan 27, 2025 02:24Serikali ya Brazil imeeleza kughadhabishwa kwake baada ya makumi ya wahamiaji waliofukuzwa kutoka Marekani kuwasili kwa ndege wakiwa wamefungwa pingu, na kusema kuwa ni "kupuuzwa waziwazi" kwa haki zao.
-
UN yahimiza misaada zaidi kwa ajili ya Sudan, yasema iliyotolewa haijawapunguzia mateso raia
Sep 01, 2024 10:13Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina Mohammed, ametoa wito wa kutolewa misaada zaidi kwa Sudan akisisitiza kwamba, juhudi zilizofanywa hadi sasa katika uga huo hazijatosha kupunguza mateso wanayopata raia wa nchi hiyo.
-
Hakuna mtu aliyenusurika katika ajali ya ndege Brazil
Aug 10, 2024 11:11Watu 61 wameaga dunia baada ya ndege ya abiria iliyokuwa imewabeba kuanguka nchini Brazil.
-
Rais wa Brazil: Dunia isinyamazie kimya mauaji ya Wapalestina Gaza
Jul 16, 2024 02:54Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amelaani vikali kimya cha jamii ya kimataifa mkabala wa mashambulizi ya kinyama na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Bendera za Israel, US zachomwa moto Brazil katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina
Jul 02, 2024 06:12Wananchi wenye hasira wa Brazil wamechoma moto bendera za Israel, Marekani na Umoja wa Ulaya wakati wa maandamano ya kuunga mkono Palestina na kupinga mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Brazil yamrejesha nyumbani balozi wake wa Israel kulalamikia jinai za Gaza
May 30, 2024 07:05Brazil imemrejesha nyumbani balozi wake wa Israel kulalamikia mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza, ambayo yamepelekea Wapalestina zaidi ya 36,100 kuuawa shahidi tangu Oktoba, 2023.
-
Polisi ya Brazil yamshtaki rais wa zamani Bolsonaro kwa kughushi cheti cha chanjo ya COVID
Mar 20, 2024 11:32Polisi ya Brazil imependekeza rais wa zamani wa nchi hiyo Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa kughushi cheti chake cha chanjo ya COVID.
-
Rais wa Brazil ataka kuundwa nchi huru ya Palestina
Mar 06, 2024 11:42Rais Lula da Silva wa Brazil kwa mara nyingine tena ametangaza himaya na uungaji mkono wake kkwa taifa la Palestina na kusisitiza juu ya kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Rais wa Brazil: Kinachofanywa na Wazayuni huko Ghaza ni mauaji ya umati
Feb 24, 2024 06:19Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil amesema kuwa, kinachofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ni mauaji ya umati.