Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Brigedia Jenerali Salami

  • Meja Jenerali Salami: Adui analenga kuvuruga utulivu wa Waislamu kwa kuvunjia heshima matukufu yao

    Meja Jenerali Salami: Adui analenga kuvuruga utulivu wa Waislamu kwa kuvunjia heshima matukufu yao

    Jan 10, 2023 23:48

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), akizungumzia hatua ya kudhalilisha ya chapisho la Kifaransa la Charlie Hebdo, alisema kuwa adui sasa analenga kuvunjia heshima matukifu ya Kiislamu ili kuvuruga utulivu wa Waislamu.

  • Kamanda wa IRGC adungwa chanjo ya COVID-19 ya Noora ya Iran

    Kamanda wa IRGC adungwa chanjo ya COVID-19 ya Noora ya Iran

    Jan 02, 2022 04:38

    Chanjo nyingine ya COVID-19 iliyotegenezwa Iran ijulikanayo kama Noora imeingia awamu ya tatu ya majaribio kwa mwanaadamu kwa kudungwa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).

  • Jenerali Salami: Vita vijavyo vitaashiria mwisho wa uhai wa Israel

    Jenerali Salami: Vita vijavyo vitaashiria mwisho wa uhai wa Israel

    Aug 08, 2021 03:29

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameukumbusha utawala wa Kizayuni juu ya uwezo mkubwa wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika mapambano na vita vya nchi kavu na kuonya kuwa, hatua yoyote ghalati itakayopelekea kuibuka vita vipya, haitakuwa na matokeo mengine isipokuwa kufutwa Israel katika uso wa dunia.

  • Jenerali Salami: Pigo la kwanza kwa Israel, yumkini likawa la mwisho

    Jenerali Salami: Pigo la kwanza kwa Israel, yumkini likawa la mwisho

    May 06, 2021 08:17

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) amesema wimbi la migogoro ya kiusalama lililoshuhudiwa katika siku za hivi karibuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) limeonesha wazi udhaifu na hatari inayoukabili utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Jenerali Salami: Sanaa ya IRGC ni kuyavunja madola ya kiistikbari

    Jenerali Salami: Sanaa ya IRGC ni kuyavunja madola ya kiistikbari

    Feb 14, 2021 04:16

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kazi kubwa ya jeshi la SEPAH ni kuyavunja na kuyasambaratisha madola ya kiistikbari.

  • Brigadia Jenerali Salami: Adui anaogopa kuingia vitani na Iran

    Brigadia Jenerali Salami: Adui anaogopa kuingia vitani na Iran

    Jun 22, 2018 00:22

    Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema kuwa, adui amepoteza uwezo wake wote wa kuingia vitani na Iran na kwamba amechakaa na karibu atatokomea.

  • Brigedia Jenerali Salami: Viongozi wa Marekani na Israel ni wasanii wenye vioja

    Brigedia Jenerali Salami: Viongozi wa Marekani na Israel ni wasanii wenye vioja

    Feb 19, 2018 04:36

    Naibu Kamanda Mkuu wa jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema katika radiamali yake kwa maonyesho ya kipropaganda ya Waziri Mkuu wa Israel katika mkutano wa usalama wa Munich Ujerumani kwamba, viongozi wa Marekani na Israel wamegeuka kuwa wasanii wenye vioja.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS