Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bunge

  • Mbunge wa Iran ahoji namna Marekani inavyoshindwa kutofautisha shabaha za kijeshi na maeneo ya raia

    Mbunge wa Iran ahoji namna Marekani inavyoshindwa kutofautisha shabaha za kijeshi na maeneo ya raia

    Sep 02, 2026 12:53

    Hasan Ghashghavi, msemaji wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amehoji namna Marekani inavyoshindwa kutofautisha kati ya shabaha za kijeshi na maeneo ya raia kufuatia shambulio la majeshi ya nchi hiyo dhidi ya sherehe ya harusi huko Sirik, katika Mkoa wa Hormuzgan nchini Iran.

  • Bunge la Zimbabwe lajadili rasimu ya muswada wa kuongeza muda wa urais

    Bunge la Zimbabwe lajadili rasimu ya muswada wa kuongeza muda wa urais

    Jun 03, 2026 12:35

    Bunge la Zimbabwe linazingatia muswada tata wa marekebisho ya Katiba ambao utaongeza muhula wa Rais Emmerson Mnangagwa kwa miaka miwili hadi 2030.

  • Bunge la Iran lapongeza kurushwa kwa mafanikio satelaiti tatu katika anga za mbali

    Bunge la Iran lapongeza kurushwa kwa mafanikio satelaiti tatu katika anga za mbali

    Dec 31, 2025 08:56

    Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepongeza kurushwa kwa satelaiti tatu zilizotengenezwa zilizotengenezwa na wataalamu wa hapa nchini, na kuitaja hatua hiyo kuwa mafanikio ya kihistoria katika mpango wa anga za mbali wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Rais Pezeshkian awasilisha rasimu ya bajeti katika Bunge la Iran

    Rais Pezeshkian awasilisha rasimu ya bajeti katika Bunge la Iran

    Dec 23, 2025 10:03

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amewasilisha rasimu ya bajeti ya mwaka ujao wa kifedha wa Iran (kuanzia Machi 21, 2026) katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).

  • Kwa nini mgawanyiko kati ya bunge la Uingereza na serikali kuhusu mgogoro wa Gaza unaendelea?

    Kwa nini mgawanyiko kati ya bunge la Uingereza na serikali kuhusu mgogoro wa Gaza unaendelea?

    Sep 03, 2025 23:03

    Wabunge wa Uingereza sanjari na kukosoa sera za serikali ya Waziri Mkuu Keir Starmer katika vita vya Gaza wameishutumu serikali ya London kwa kuilegezea  Israel.

  • Spika Qalibaf: Kizuizi kikuu cha Iran dhidi ya maadui ni umoja wa kitaifa

    Spika Qalibaf: Kizuizi kikuu cha Iran dhidi ya maadui ni umoja wa kitaifa

    Jul 20, 2025 09:10

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Qalibaf amewaasa wananchi wa Iran kulinda umoja wao wa kitaifa akisisitiza kuwa, umoja huo ndio unaomzuia adui kufanya kitendo kingine cha uchokozi dhidi ya taifa hili.

  • Rais wa Iran asisitiza umoja kati ya nchi za Kiislamu

    Rais wa Iran asisitiza umoja kati ya nchi za Kiislamu

    Feb 04, 2025 04:17

    Rais wa Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zinapasa kujiepusha na masuala yanayozusha hitilafuna badala yake zinapasa kushikama na kuwa kitu kimoja; na kwa njia hiyo ni wazi kuwa njama za maadui na wale wanaozitakia mabaya wenzao hazitafanikiwa.

  • Kupasishwa vikwazo dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Bunge la Ireland

    Kupasishwa vikwazo dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Bunge la Ireland

    Nov 09, 2024 22:41

    Wabunge wa Ireland wamepasisha muswada ambao unauarifisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala mtenda jinai unaofanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza mbele ya macho ya walimwengu.

  • Bunge la Ghana laakhirishwa tena baada ya wabunge wa chama tawala kususia vikao

    Bunge la Ghana laakhirishwa tena baada ya wabunge wa chama tawala kususia vikao

    Nov 08, 2024 04:01

    Bunge la Ghana jana Alhamisi liliahirishwa tena kwa muda usiojulikana kufuatia pingamizi la wabunge kutoka chama tawala cha New Patriotic Party (NPP) muda mfupi kabla ya uchaguzi.

  • Spika wa Bunge Ghana amkosoa Rais kwa kutopasisha sheria dhidi ya LGBT

    Spika wa Bunge Ghana amkosoa Rais kwa kutopasisha sheria dhidi ya LGBT

    Mar 21, 2024 23:03

    Spika wa Bunge la Ghana, Alban Bagbin amemjia juu Rais Nana Akufo-Addo wa nchi hiyo kwa kutoidhinisha kuwa sheria muswada wa kupambana na ushoga na ubaradhuli LGBTQ+ takriban mwezi mmoja baada ya kupasishwa kwake na Bunge.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS