Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bunge

  • Upinzani Sudan Kusini wapinga kurefushwa muda wa uongozi wa Kiir

    Upinzani Sudan Kusini wapinga kurefushwa muda wa uongozi wa Kiir

    Jul 13, 2018 03:16

    Saa chache baada ya Bunge la Sudan Kusini kupiga kura na kuunga mkono kurefushwa muda wa Rais Salva Kiir wa nchi hiyo kubakia madarakani hadi mwaka 2021, upinzani unaoongozwa na Riek Machar umejitokeza na kukosoa vikali hatua hiyo.

  • Kiongozi mkongwe wa upinzani (92) ashinda uchaguzi Malaysia

    Kiongozi mkongwe wa upinzani (92) ashinda uchaguzi Malaysia

    May 10, 2018 10:00

    Kiongozi mkongwe wa upinzani ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Malaysia ameshinda uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo, kwa mujibu wa matokeo rasmi ya Tume ya Uchaguzi, na kutamatisha utawala wa karibu miongo sita wa mrengo tawala wa Barisan Nasional.

  • Nabih Berri: Umoja wa Kitaifa ndiyo matunda halisi ya uchaguzi wa bunge Lebanon

    Nabih Berri: Umoja wa Kitaifa ndiyo matunda halisi ya uchaguzi wa bunge Lebanon

    May 07, 2018 10:51

    Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza baada ya kutangazwa matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge nchini humo kwamba: Umoja wa kitaifa ndiyo matunda na mafaniko halisi ya uchaguzi wa bunge; ambayo yamepatikana kufuatia sheria mpya ya uchaguzi.

  • Mahakama yamuuzulu Waziri Mkuu na kuvunja Bunge Gabon

    Mahakama yamuuzulu Waziri Mkuu na kuvunja Bunge Gabon

    May 01, 2018 09:59

    Mahakama ya Katiba nchini Gabon imeagiza kuvunjwa kwa Bunge la Taifa la nchi hiyo sanjari na kumuuzulu Waziri Mkuu wa nchi hiyo, hatua ambayo imesitisha shughuli za serikali ya Rais Ali Bongo wa nchi hiyo.

  • Kuundwa kundi la kuipiga vita Russia katika bunge la Uingereza

    Kuundwa kundi la kuipiga vita Russia katika bunge la Uingereza

    Apr 21, 2018 21:46

    Bunge la Uingereza limeunda kundi jipya la kuipiga vita Russia. Kundi hilo lililo dhidi ya Russia katika bunge la Uingereza limeundwa kwa kuwashirikisha wajumbe wa kamati sita wenye ushawishi katika bunge hilo wakiwemo wenyeviti wa kamati za ulinzi, masuala ya nje, fedha na usalama wa taifa. Aidha wajumbe wa kamati nyinginezo kama wa masuala ya ndani, utamaduni, vyombo vya habari na masuala ya dijitali pia wamo katika kundi hilo jipya dhidi ya Russia ndani ya bunge la Uingereza.

  • Mugabe aitwa bungeni ajieleze kuhusu faili la ufisadi wa fedha

    Mugabe aitwa bungeni ajieleze kuhusu faili la ufisadi wa fedha

    Apr 20, 2018 10:00

    Rais wa Zamani wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe ametakiwa kufika bungeni kwa ajili ya kutoa ushahidi kuhusiana na madai ya ufisadi wa fedha yaliyofanywa na serikali yake.

  • Hatimaye Spika wa Bunge la Somalia ajiuzulu

    Hatimaye Spika wa Bunge la Somalia ajiuzulu

    Apr 09, 2018 02:51

    Spika wa Bunge la Federali la Somalia, Mohamed Sheikh Osman Jawari, hatimaye amejiuzulu baada ya nchi hiyo ye Pembe ya Afrika kushuhudia taharuki na mgogoro mkubwa wa kisiasa kwa wiki kadhaa.

  • Mvutano katika Bunge la Ghana kuhusiana na kutolewa idhini kwa ajili ya operesheni za kijeshi za Marekani

    Mvutano katika Bunge la Ghana kuhusiana na kutolewa idhini kwa ajili ya operesheni za kijeshi za Marekani

    Mar 25, 2018 06:12

    Bunge la Ghana limeingia katika mzozo mkubwa kuhusiana na kutolewa idhini kwa ajili ya kupelekwa nchini humo askari wa Marekani bila ya mipaka yoyote.

  • Iran na Misri kuimarisha ushirikiano wao wa mabunge

    Iran na Misri kuimarisha ushirikiano wao wa mabunge

    Feb 06, 2018 03:46

    Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa mabunge ya nchi hii na Misri.

  • Zaidi ya wabunge 10 wa bunge la Israel kususia hotuba ya Makamu wa Rais wa Marekani

    Zaidi ya wabunge 10 wa bunge la Israel kususia hotuba ya Makamu wa Rais wa Marekani

    Jan 21, 2018 23:34

    Zaidi ya wabunge 10 wa bunge la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Knesset wametangaza kuwa watasusia hotuba inayotazamiwa kutolewa na Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS