-
Bunge la Libya limepiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya mpito ya nchi hiyo
Sep 22, 2021 03:22Abdallah Bilhaq Msemaji wa bunge la Libya lenya makao yake katika mji wa Tobruk mashariki mwa nchi hiyo jana adhuhuri alitangaza kuwa bunge hilo limepiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya mpito ya hiyo.
-
Baada ya mkwamo wa miezi 13 hatimaye agizo la kuunda serikali mpya ya Lebanon lasainiwa
Sep 11, 2021 03:11Agizo la kuundwa serikali ya Lebanon limesainiwa rasmi na Rais Michel Aoun wa nchi hiyo.
-
Kurefusha Rais wa Tunisia muda wa kusimamishwa shughuli za Bunge
Aug 25, 2021 02:42Licha ya malalamiko ya kila upande, lakini Rais wa Tunisia Kais Saied ametangaza kuwa, shughuli za Bunge la nchi hiyo zitaendelea kusitishwa kwa muda usiojulikana.
-
Poland yakataa kulipa fidia kwa Marekani na Israel
Aug 15, 2021 02:24Waziri Mkuu wa Poland, Mateusz Morawiecki amepinga ukosoaji uliolenga hatua ya Bunge la nchi hiyo ya kupasisha sheria mbili zinazohusiana na umiliki wa vyombo vya habari na Holocaust na kusema kuwa, hakuna uwezekano wa kuruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kumiliki vyombo vya habari vya Poland.
-
Mbunge wa Ulaya: Israel inafanya jinai kwa kuungwa mkono na Marekani na Ulaya
May 13, 2021 02:14Mbunge mmoja wa Ireland katika Bunge la Ulaya amesema kuwa mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhlumu na wasio na ulinzi wa Palestina ni mauaji ya kizazi na kwamba, jinai hizo zisingelifanywa na Wazayuni kama si uungaji mkono wa pande zote wa Marekani na Ulaya kwa Israel.
-
Bunge la Nigeria lataka kushughulikiwa tatizo la ukosefu wa usalama unaoikabili nchi
Apr 29, 2021 08:05Bunge la Nigeria limepasisha maazimio kadhaa yanayomtaka Rais wa nchi, vikosi vya ulinzi na jeshi la polisi nchini humo kushughulikia tatizo la ukosefu wa usalama katika baadhi ya majimbo ya nchi hiyo ambalo limekuwa likiyatesa maeneo hayo kwa miaka kadhaa sasa.
-
Kamati za Bunge la Kenya zatuhumiwa kula rushwa na kufanya ufisadi
Apr 13, 2021 13:42Kamati za Bunge la Kenya zimetuhumiwa kuwa zinakula rushwa na kuhusika na ufisadi kutokana na wabunge wanaosimamia kamati hizo kufumbia macho uhalifu na mashtaka yanayowasishwa mkabala wa kula rushwa na kupokea hongo.
-
Bunge la Iran lapinga kuondolewa vikwazo taifa hili hatua kwa hatua
Apr 04, 2021 12:01Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepinga pendekezo la kuondolewa vikwazo taifa hili hatua kwa hatua.
-
Wabunge 172 Iraq watia saini mpango wa kutaka bunge livunjwe
Mar 22, 2021 02:30Mirengo kadhaa ya Bunge la Iraq imewasilisha mpango wa kutaka bunge hilo livunjwe ili kufanyike uchaguzi wa mapema.
-
Majina ya mawaziri wa serikali ya mpito ya Libya yawasilishwa bungeni kupigiwa kura ya imani
Feb 27, 2021 07:02Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Libya amewasilisha bungeni majina ya mawaziri aliowapendekeza kwa ajili ya kuunda serikali kwa madhumuni ya kuhitimisha hali ya mchafukoge nchini humo.