Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • UN, lazima jinai za machafuko ya nchini Burundi zichunguzwe

    UN, lazima jinai za machafuko ya nchini Burundi zichunguzwe

    Apr 28, 2016 03:02

    Umoja wa Mataifa umetaka kuanza kuchunguzwa vitendo vya mauaji nchini Burundi.

  • Machafuko ya Burundi yaitia wasiwasi jamii ya kimataifa

    Machafuko ya Burundi yaitia wasiwasi jamii ya kimataifa

    Apr 27, 2016 03:25

    Machafuko yanayoendelea kushuhudiwa katika nchi ya Burundi yameitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro mkubwa. Mauaji ya Waziri wa Haki za Binadamu, Martin Nivyabandi na mkewe na yale ya hivi majuzi ya Athanase Kararuza aliyekuwa mshauri wa masuala ya kijeshi wa Rais wa Burundi, yameizamisha zaidi nchini hiyo katika lindi kubwa la machafuko na ukosefu wa amani.

  • Faili la kuchunguza hali ya Burundi lafunguliwa katika mahakama ya ICC

    Faili la kuchunguza hali ya Burundi lafunguliwa katika mahakama ya ICC

    Apr 25, 2016 10:36

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imefungua faili maalumu la kufuatilia hali ya kisiasa na kiusalama ya Burundi.

  • UNHCR: Wananchi wa Burundi wanazidi kuikimbia nchi yao

    UNHCR: Wananchi wa Burundi wanazidi kuikimbia nchi yao

    Apr 22, 2016 23:51

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi (UNHCR), limetangaza kuwa idadi ya wakimbizi wa Burundi wanaoomba hifadhi nchi jirani inaongezeka na sasa imefikia 260,000.

  • Burundi yawatimua raia wa nchi zilizosimamisha ushirikiano na Bujumbura

    Burundi yawatimua raia wa nchi zilizosimamisha ushirikiano na Bujumbura

    Apr 22, 2016 10:45

    Burundi imewataka raia wa nchi za kigeni zilizosimamisha ushirikiano na serikali ya Bujumbura, kuondoka nchini humo.

  • Umwagaji damu waendelea Burundi, watu wengine 4 waua

    Umwagaji damu waendelea Burundi, watu wengine 4 waua

    Apr 21, 2016 10:53

    Watu wanne wameuawa katika matukio mawili tofauti katika kile kinachoonekana ni mauaji ya kulipiza kisasi kati ya maafisa wa serikali na waasi nchini Burundi.

  • Serikali ya Burundi yaomba iondolewe vikwazo ilivyowekewa na Jumuiya ya Francophone

    Serikali ya Burundi yaomba iondolewe vikwazo ilivyowekewa na Jumuiya ya Francophone

    Apr 17, 2016 02:30

    Serikali ya Burundi imeomba iondolewe vikwazo ilivyowekewa na Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Lugha ya Kifaransa (Francophone).

  • Afisa wa serikali ya Burundi auawa katika makabiliano ya kulipiza kisasi

    Afisa wa serikali ya Burundi auawa katika makabiliano ya kulipiza kisasi

    Apr 14, 2016 10:01

    Afisa wa chama tawala nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi, katika kile kinachoonekana ni wimbi la makabiliano ya kulipiza kisasi dhidi ya serikali.

  • Watu 46 wameuawa Burundi mwaka huu

    Watu 46 wameuawa Burundi mwaka huu

    Apr 14, 2016 02:52

    watu 46 wameripotiwa kuuawa ndani ya kipindi cha miezi mitatu ya mwanzoni mwa mwaka huu katika ghasia zinazoendelea nchini Burundi.

  • Watu watano wauawa sokoni nchini Burundi

    Watu watano wauawa sokoni nchini Burundi

    Apr 12, 2016 11:38

    Watu watano wamepigwa risasi na kuuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa Jumatatu usiku kufuatia hujuma iliyofanyika katika soko moja mashariki mwa Burundi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS