-
Wacanada hawataki kuendelea kuwa kwenye makucha ya ufalme wa Uingereza
Sep 14, 2022 22:47Matokeo ya uchunguzi wa hivi karibuni wa maoni yanaonesha kuwa, idadi kubwa ya wananchi wa Canada hawataki kuendelea kuwa chini ya makucha ya mfalme wao ajinabi, yaani Uingereza.
-
Utumiaji mabavu na mauaji vyaongezeka Canada
Sep 07, 2022 03:37Licha ya serikali ya Canada kufanya jitihada za kupunguza machafuko na utumiaji mabavu nchini, nchi hiyo katika miezi ya karibuni imekumbwa na jinai na vitendo vingi vinavyohusiana na utumiaji wa silaha baridi na moto.
-
Onyo la China kwa Canada kuhusu safari ya wabunge wake Taiwan
Aug 25, 2022 21:55China imeionya vikali Canada na kusisitiza kuwa itachukua hatua madhubuti na za nguvu iwapo wabunge wa Canada watafanya safari ya kuitembelea Taiwan karibuni hivi.
-
Hujuma za chuki dhidi ya Waislamu Canada zaongezeka kwa 71%
Aug 05, 2022 06:22Jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu zimeongezeka kwa kiwango cha kutisha nchini Canada.
-
Papa akiri, kulifanyika mauaji ya kimbari ya watoto wa wakazi asili wa Canada
Jul 30, 2022 06:09Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, ameyataja mauaji ya watoto wa wakazi asili nchini Canada kuwa ni "mauaji ya kimbari".
-
Kanisa Katoliki laomba msamaha kuhusu mauaji ya Kimbari ya Wacanada asilia
Jul 27, 2022 01:44Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amekwenda Canada na kuomba msamaha kwa wenyeji asilia wa nchi hiyo kutokana na kuhusika kanisa hilo katika moja ya jinai na maafa mabaya zaidi ya kibinadamu nchini humo.
-
Papa aenda Canada kuomba radhi kutokana na jinai za Katoliki
Jul 23, 2022 06:52Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis anatazamiwa kuizuru Canada kesho Jumapili kwenda kuomba radhi kwa wenyeji asilia wa nchi hiyo, kwa dhulma zilizofanyika katika shule za bweni za Wamishonari wa kanisa hilo dhidi ya wenyeji hao.
-
Watoto 500 Waamerika asili walipoteza maisha katika shule za bweni za kanisa Marekani
May 12, 2022 06:38Ripoti mpya imefichua kuhusu vifo zaidi ya 500 katika shule za bweni za kanisa ambazo kwa zaidi ya karne moja zilijaribu kuwaingiza watoto wa jamii za asili za Amerika katika jamii ya wakoloni wazungu.
-
Waislamu 5 wajeruhiwa kwa kupigwa risasi msikitini nchini Canada
Apr 17, 2022 03:29Watu watano wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa risasi na wahalifu wasiojulikana nchini Canada, huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vikionekana kushtadi nchini humo.
-
Ombi la wakazi asilia wa Canada kwa Papa Francis
Mar 29, 2022 02:41Wenyeji wa Canada walionusurika na mauaji ya shule za bweni za Kanisa Katoliki Jumatatu ya jana walimtaka Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani na mkuu wa Vatican, awezeshwe kupata kuona nyaraka zinazohusiana na jinai hiyo ya mauaji ya kimbari yaiiyolenga maelfu ya watoto wa Wahindu Wekundu na wakazi asilia wa Canada.