Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Canada

  • Trudeau: Papa Francis anapaswa kuomba radhi kwa yaliyotokea kwenye shule za bweni za wamishonari

    Trudeau: Papa Francis anapaswa kuomba radhi kwa yaliyotokea kwenye shule za bweni za wamishonari

    Jun 27, 2021 01:00

    Waziri Mkuu wa Canada amesema Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis anapaswa kuomba rahi kutokana na yaliyijiri kwenye shul za bwezi zilizokuwa zikisimamiwa na Kanisa Katoliki.

  • Wenyeji asili wa Canada wataka kufanyike uchunguzi wa hatima ya watoto wa wakazi asili huko Marekani

    Wenyeji asili wa Canada wataka kufanyike uchunguzi wa hatima ya watoto wa wakazi asili huko Marekani

    Jun 26, 2021 21:56

    Kugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Kikatoliki kumezua wimbi kubwa la hasira kati ya raia wengi wa nchi hiyo, taasisi za kutetea haki za binadamu na baina ya wapenda haki kote duniani.

  • Mashirika 130 yataka Canada iache kuhujumu taasisi za Kiislamu

    Mashirika 130 yataka Canada iache kuhujumu taasisi za Kiislamu

    Jun 26, 2021 08:08

    Huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vikionekana kushtadi nchini Canada, serikali ya nchi hiyo imekuja na mpango wa kuyafanyia 'ukaguzi' mashirika ya misaada ya kibinadamu ya Kiislamu nchini humo.

  • Amnesty International: Hali ya haki za binadamu Canada inatia wasiwasi

    Amnesty International: Hali ya haki za binadamu Canada inatia wasiwasi

    Jun 19, 2021 21:44

    Sera za kibaguzi zinazoshuhudiwa katika nchi za Magharibi zinaendelea kuzitia wasiwasi taasisi na jumuiya za kimataifa za kutetea haki za binadamu.

  • Waislamu Canada wahofishwa na kuongezeka mashambulio ya chuki dhidi yao

    Waislamu Canada wahofishwa na kuongezeka mashambulio ya chuki dhidi yao

    Jun 14, 2021 23:22

    Waislamu nchini Canada wamesema kuwa wana wasiwasi na kuongezeka mashambulizi na vitendo vya chuki dhidi yao.

  • Maelfu waandamana kulaani 'Islamophobia' nchini Canada

    Maelfu waandamana kulaani 'Islamophobia' nchini Canada

    Jun 12, 2021 08:40

    Maelfu ya watu wamefanya maandamano makubwa nchini Canada kulaani vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu, sambamba na kuonesha mshikamano wao na familia moja ya Kiislamu iliyouawa hivi karibuni katika mji wa London jimboni Ontario nchini humo.

  • Iran yalaani kitendo cha Canada kuzuia Wairani nchini humo kupiga kura uchaguzi wa rais

    Iran yalaani kitendo cha Canada kuzuia Wairani nchini humo kupiga kura uchaguzi wa rais

    Jun 11, 2021 08:05

    Msemaji wa Tume ya Uchaguzi ya Iran amesema hatua ya Canada ya kukataa kutoa ushirikiano ili kuhakikisha Wairani wanaoishi Canada wanapiga kura katika uchaguzi wa rais wa Iran, ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa.

  • Mauaji ya familia ya Kiislamu nchini Canada, nembo ya Islamophobia katika nchi za Magharibi

    Mauaji ya familia ya Kiislamu nchini Canada, nembo ya Islamophobia katika nchi za Magharibi

    Jun 09, 2021 07:00

    Kufuatia mauaji ya kikatili ya familia moja ya Kiislamu kwenye mji wa London katika jimbo la Ontario nchini Canada, Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Justin Trudeau amesema anahidi kuwa, atachukua hatua zaidi za kukabiliana na makundi yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia.

  • Baraza la Waislamu Canada lataka kukomeshwa chuki dhidi ya Uislamu nchini humo

    Baraza la Waislamu Canada lataka kukomeshwa chuki dhidi ya Uislamu nchini humo

    Jun 08, 2021 14:16

    Baraza la Kitaifa la Waislamu wa Canada limetoa wito wa kutokomezwa haraka sera za chuki na kupiga vita Uislamu (Islamophobia) nchini humo baada ya jinai ya kutisha ya dereva mmoja kuwagonga watu watano wa familia moja na kuua wanne miongoni mwao.

  • Mwenye chuki dhidi ya Uislamu aua Waislamu 4 Canada kwa gari

    Mwenye chuki dhidi ya Uislamu aua Waislamu 4 Canada kwa gari

    Jun 08, 2021 03:41

    Dereva mmoja mwenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Canada ameua watu wanne wa familia moja na kujeruhi mwingine vibaya, baada ya kuwagonga kwa makusudi na lori lake katika mkoa wa Ontario.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS