-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na China; sisitizo la Xi Jinping juu ya umuhimu wa uhusiano wa pande mbili
Feb 15, 2023 22:56Jumanne ya juzi tarehe 14 Februari, Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikutana na kufanya mazungumzo mjini Beijing na Rais Xin Jinping wa China.
-
Rais Raisi: Utawala Mpya wa Dunia unaibuka huku Asia ikiwa kitovu
Feb 15, 2023 09:13Rais Ebrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mfumo Mpya wa Utawala wa Dunia unaibuka huku bara la Asia likiwa kitovu chake na kwamba utachukua nafasi ya ule wa awali.
-
Hati 20 za ushirikiano zasainiwa na maafisa wa Iran na China katika safari ya Rais Raisi mjini Beijing
Feb 14, 2023 09:17Hati 20 za ushirikiano zimetiwa saini kati ya maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na China katika hafla iliyohudhuriwa na marais wa nchi hizo mbili.
-
Rais wa Iran awasili Beijing, kusaini hati 20 za makubaliano na China
Feb 13, 2023 23:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Beijing, mji mkuu wa China kwa ziara rasmi ya kikazi, kufuatia mwaliko wa Rais Xi Jinping wa nchi hiyo.
-
Jenerali Mmarekani atabiri vita na China mwaka 2025, anawaambia maafisa wajitayarishe
Jan 28, 2023 23:06Jenerali wa nyota nne wa Jeshi la Wanahewa la Marekani ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea mzozo wa kijeshi kati yake na China kuhusu eneo la Taiwan mapema mwaka 2025, na hivyo amewataka makamanda kushinikiza vikosi vyao kufikia utayari wa juu zaidi kwa operesheni za kijeshi.
-
WHO: Vifo vitokanavyo na COVID-19 vinaongezeka, China inaongoza
Jan 28, 2023 08:19Shirika la Afya Duniani, (WHO) limesema idadi ya vifo vinavyotokana na COVID-19 imeanza kuongezeka duniani tangu mwishoni mwa mwezi uliopita wa Desemba.
-
Utafiti: Marekani haipo tayari kuingia vitani na China
Jan 24, 2023 23:00Kituo cha Kimataifa cha Tafiti za Kistratejia (CSIS) kimeonya kuwa, Marekani haina ubavu wala akiba ya kutosha ya silaha na zana za kijeshi za kuiwezesha kuingia katika makabiliano ya kijeshi na China.
-
China yarekodi vifo karibu 60,000 vinavyohusishwa na COVID-19
Jan 15, 2023 03:29China imesema watu karibu 60,000 waliaga dunia kutokana na ugonjwa wa COVID-19 katika kipindi cha mwezi mmoja, huku nchi hiyo ikakabiliana na wimbi jipya la maambukizi ya ugonjwa huo.
-
China: Marekani ndiyo chanzo cha kuvurugika amani ya eneo ikiwemo Bahari ya Kusini ya China
Dec 30, 2022 22:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema, Marekani ndiyo chanzo cha kuvurugikka amani katika eneo, ikiwa ni pamoja na Bahari ya Kusini ya China, na akaitaka Washington iache hatua zake hatarishi na za kichochezi.
-
China: Japan inatia shaka kwamba inataka suluhu wakati imeongeza mno bajeti ya kijeshi
Dec 28, 2022 07:55Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema mipango ya Japan ya kuongeza kwa kiwango kikubwa mno bajeti yake ya kijeshi inatia wasiwasi na kusisitiza kwamba: kuna shaka kuwa hatua hiyo ya Tokyo imechukuliwa kwa nia ya kuleta suluhu na amani.