-
Iran yaishukuru China kwa uungaji mkono wake katika vita vya US,Israel
Jul 16, 2025 04:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepongeza hatua ya China ya kulaani vita vya kichokozi vilivyoanzishwa na Israel na Marekani dhidi ya ardhi na mamlaka ya kujitawala Iran, huku akisisitiza utayarifu wa Tehran wa kuimarisha zaidi uhusiano huo wa kirafiki na Beijing.
-
China yawaonya raia wake dhidi ya kwenda Israel
May 19, 2025 03:55China imewapa tahadhari raia wake dhidi ya kusafiri kwenda katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni na kupachikwa jina bandia la Israel kutokana na kile inachokitaja kuwa sababu za kiusalama.
-
Katibu Mkuu wa UN: Akili Mnemba ni upanga wenye makali pande mbili, ina manufaa na madhara
May 03, 2025 03:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, waandishi wa habari wanakabiliwa na hatari kila uchao na kwamba teknolojia mpya ya akili mnemba au AI inayotumika katika tasnia hiyo licha ya kuwa na manufaa inaibua hatari mpya pia kwenye uhuru wa kujieleza.
-
China: Kusalimu amri kutachochea zaidi uchu wa Marekani
Apr 29, 2025 23:00Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amesema kusalimu amri na kufikia makubaliano na Marekani katika vita vya kibiashara vya Washington hakutakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuchochea zaidi uchu na uroho wa Marekani.
-
Uganda yatangaza kumalizika mripuko wa karibuni wa ugonjwa wa Ebola
Apr 26, 2025 23:02Uganda imetangaza kumalizika mripuko uliozuka karibuni zaidi wa ugonjwa wa Ebola miezi mitatu baada ya mamlaka husika kuthibitisha kesi za maambukizo ya ugonjwa huo katika mji mkuu Kampala.
-
China: Hatuogopi kupigana vita vya kibiashara na Marekani
Apr 16, 2025 22:59China imeonya kwamba "haiogopi" kupigana vita vya kibiashara na Marekani, ikikariri wito wa mazungumzo baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kusema kwamba Beijing lazima ichukue hatua ya kwenda kwenye meza ya mazungumzo.
-
Kiwewe cha Trump kwa hatua za China: Juhudi za Beijing za kuunda muungano dhidi ya Washington
Apr 16, 2025 22:58Rais wa Marekani Donald Trump ameshindwa kuficha kiwewe chake kwa kusema kuwa ziara ya Rais Xi Jinping wa China nchini Vietnam inalenga kuiharibia jina Marekani, huku kukiwa na ongezeko la vita vya ushuru kati ya Washington na Beijing.
-
Vita vya ushuru kati ya Marekani na China: Beijing kukabiliana na ubabe wa Washington
Apr 12, 2025 22:48Rais Xi Jin Ping wa China amesisitiza katika mazungumzo na Pedro Sanchez, Waziri Mku wa Uhispania ulazima wa kuimarisha ushirikiano kati ya China na Umoja wa Ulaya ili kukabiliana na hatua za upande moja za Marekani.
-
Rais Xi wa China aonya: Marekani itajitenga yenyewe
Apr 12, 2025 07:44Rais wa China, Xi Jinping ametahadharisha kuwa, Marekani iko katika hatari ya kujitenga yenyewe kwa kushupalia vita vya ushuru na vikwazo vya biashara vya upande mmoja.
-
Kusalimu amri Trump katika sera zake za vita vya kiuchumi duniani
Apr 11, 2025 04:12Rais wa Marekani Donald Trump, amesalimu amri baada ya masoko ya hisa ya Marekani kuporomoka vibaya kutokana na sera zake mbovu za kuanzisha vita vya kiudhumi na kuzipandishia ushuru bidhaa za nchi zote duniani.