Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

chuki dhidi ya Uislamu

  • Indhari ya Mkuu wa Sera za Nje wa EU kuhusu uenezaji chuki dhidi ya Uislamu

    Indhari ya Mkuu wa Sera za Nje wa EU kuhusu uenezaji chuki dhidi ya Uislamu

    Mar 28, 2019 04:37

    Mashambulizi ya kigaidi ya makundi yenye kuchupa mipaka hususan magaidi wa Daesh huko barani Ulaya na Marekani yamepelekea kuandaliwa uwanja wa kushadidishwa mashambulizi ya propaganda na kuibua anga ya vita vya kisaikolojia dhidi ya dini ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla.

  • Sisitizo la Antonio Guterres la ulazima wa kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)

    Sisitizo la Antonio Guterres la ulazima wa kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)

    Mar 24, 2019 07:37

    Matukio ya miaka ya hivi karibuuni katika medani ya kimataifa hususan kujitokeza makundi yenye kufurutu ada na kuenea vitendo vyao vya ugaidi katika madola ya Magharibi, yalivipatia vyombo vya habari na tawala za nchi hiyo kisingizio tosha cha kueneza chuuki dhidi ya Uislamu.

  • Wenye chuki na Uislamu Denmark waivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuuchoma moto msahafu

    Wenye chuki na Uislamu Denmark waivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuuchoma moto msahafu

    Mar 23, 2019 08:02

    Katika harakati nyingine ya uenezaji chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia), kiongozi wa chama kimoja cha mrengo wa kulia chenye misimamo ya kufurutu mpaka nchini Denmark ameuchoma moto msahafu mbele ya jengo la bunge la nchi hiyo.

  • Misikiti mitano yavamiwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza

    Misikiti mitano yavamiwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza

    Mar 21, 2019 15:04

    Misikiti mitano imeshambuliwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza, wiki moja baada ya kutokea mashambulizi ya kigaidi nchini New Zealand na kuua makumi ya Waislamu na kujeruhi makumi ya wengine.

  • Guterres: Kuna udharura wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Guterres: Kuna udharura wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Mar 16, 2019 04:45

    Katibu MKuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kulaani mashambulio ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya misikiti miwili katika mji wa Christchurch nchini New Zealand jana Ijumaa na kuua makumi ya watu, ametoa mwito wa kuundwa mikakati ya kupambana na chuki dhidi Uislamu zinazoenea kwa kasi katika maeneo mbalimbali ya dunia.

  • OIC: Chuki na ubaguzi dhidi ya Waislamu vilifika kileleni mwaka jana

    OIC: Chuki na ubaguzi dhidi ya Waislamu vilifika kileleni mwaka jana

    Feb 28, 2019 16:03

    Kituo cha Islamophobia Watch kinachofuatilia chuki na ubaguzi unaofanyika dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani kimetangaza kuwa, ubaguzi na chuki dhidi ya Waislamu vilifikia kileleni mwishoni mwa mwaka uliopita wa 2018.

  • Iran na Uturiki zahimizwa kukabiliana na ugaidi na propaganda chafu dhidi ya Uislamu

    Iran na Uturiki zahimizwa kukabiliana na ugaidi na propaganda chafu dhidi ya Uislamu

    Dec 05, 2018 08:09

    Mkuu wa Jumuiya ya Masuala ya Dini nchini Uturuki amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki ambazo ni nchi kubwa zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati zinapaswa kuzidisha ushirikiano kwa ajili ya kupambana na ugaidi na njama zinazoeneza propaganda za kuchafua sura safi ya Uislamu.

  • Waislamu Canada wataka 'Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu'

    Waislamu Canada wataka 'Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu'

    Nov 23, 2018 07:52

    Waislamu nchini Canada wamesema jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu zimeshtadi huku wakiitaka serikali izindue mpango mkakati wa kuziunganisha jamii za nchi hiyo.

  • Ripoti: Kiwango cha chuki dhidi ya Uislamu Uingereza kimevunja rekodi

    Ripoti: Kiwango cha chuki dhidi ya Uislamu Uingereza kimevunja rekodi

    Jul 22, 2018 14:08

    Ripoti mpya ya asasi isiyokuwa ya kiserikali imesema uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu na matukufu yao umeongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi nchini Uingereza.

  • Uholanzi kufanya mashindano ya vibonzo vya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW

    Uholanzi kufanya mashindano ya vibonzo vya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW

    Jun 13, 2018 07:23

    Kiongozi wa chama chenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia nchini Uholanzi amepewa kibali cha kuandaa mashindano ya kuwasilisha vibonzo vya kumvunjia heshimu Mtume Muhammad SAW.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS