-
Msikiti washambuliwa kwa moto na magaidi wenye chuki ya Uislamu nchini Uingereza
Jun 09, 2018 01:22Katika hatua ya chuki dhidi ya Uislamu, msikiti mmoja wa eneo la Beeston mjini Leeds nchini Uingereza umeshambuliwa kwa moto na watu wasiojulikana.
-
Ripoti: Waislamu nchini Marekani wanafungwa vifungo virefu kuliko wengine
Apr 07, 2018 03:52Utafiti mpya umebainisha kuwa, watuhumiwa wa uhalifu Waislamu au wenye majina ya Kiislamu nchini Marekani wanahukumiwa vifungo virefu zaidi na habari hizo kuvaliwa njuga na vyombo vya habari, kuliko watuhumiwa wasiokuwa Waislamu.
-
Hatua za chuki dhidi ya Waislamu zazidi kushika kasi Italia, Waislamu wajawa na khofu
Mar 29, 2018 04:34Duru za habari nchini Italia zimeripoti juu ya ongezeko la mashambulizi yanayosukumwa na chuki dhidi ya dini ya Uislamu nchini humo.
-
Maadui watangaza "Siku ya Kumwadhibu Muislamu" nchini Uingereza
Mar 12, 2018 02:30Taharuki imetanda miongoni mwa Waislamu nchini Uingereza baada ya kundi lenye chuki dhidi ya Uislamu kusambaza barua za kutaka kushambuliwa Waislamu na misikiti nchini humo.
-
Wenye chuki dhidi ya Uislamu wachoma moto msikiti nchini Ujerumani
Mar 11, 2018 16:28Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa matukio ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu barani Ulaya, wavamizi wasiojulikana wameuteketeza moto msikiti mmoja katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin.
-
Mpambe wa Trump mwenye chuki dhidi ya Waislamu ajiuzulu
Jan 19, 2018 14:09Afisa mmoja wa ngazi za juu wa Marekani aliyeteuliwa na Rais Donald Trump amelazimika kujiuzulu baada ya kanali ya televisheni ya CNN kufichua kanda ya sauti, ambapo anasikika akitoa maneno ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
-
Maadui wa Uislamu wapinga kutangazwa siku ya kupambana na chuki dhidi ya Waislamu nchini Canada
Jan 10, 2018 04:37Kundi la mrengo wa kulia la maadu wa Uislamu katika mji wa Quebec nchini Canada wamepinga ombi la Waislamu la kutangazwa rasmi siku ya kupambana na chuki dhidi ya Waislamu kama njia ya kukumbuka tukio la kushambuliwa kwa risasi msikiti wa Quebec.
-
Madhara ya kuenezwa chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya
Aug 28, 2017 15:30Kuongezeka wimbi la vyombo vya habari vinavyoeneza chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya kumewaweka katika wakati mgumu sana Waislamu barani humo kiasi kwamba uchunguzi wa hivi karibuni wa maoni unaonesha kuwa, kati ya kila watu watano wa barani Ulaya, mmoja anachukia kuwa na jirani Muislamu.
-
Trump: Waueni Waislamu kwa risasi zilizotumbukizwa kwenye damu ya nguruwe
Aug 18, 2017 08:09Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa kutoa kauli za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu, Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayoashiria kutaka baadhi ya waumini wa Kiislamu kuuawa kwa kutumia risasi zilizotumbukizwa kwenye damu ya nguruwe.
-
Kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu nchini Marekani
Apr 26, 2017 13:20Matukio yanayohusiana na chuki dhidi ya dini Tukufu ya Uislamu yameongezeka kwa asilimia elfu moja nchini Marekani.