-
Umoja wa Mataifa wawashutumu wanaoeneza uongo kuhusu Uislamu
Mar 29, 2017 14:18Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewashutumu watu wanaoeneza propaganda chafu dhidi ya Uislamu ambao wanajaribu kuihusisha dini hiyo na vitendo vya kigaidi.
-
Maelfu waandamana London, Uingereza kulaani chuki dhidi ya Uislamu
Mar 19, 2017 07:46Maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Uingereza, London kushiriki maandamano ya kulaani chuki na uenezaji hofu dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ubaguzi wa rangi.
-
Al Azhar yasisitiza udharura wa kukabiliana na propaganda chafu dhidi ya Uislamu
Mar 01, 2017 03:56Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri ametilia mkazo udharura wa taasisi za kidini duniani kukabiliana na wimbi la propaganda chafu zinazolenga dini ya Uislamu.
-
Misikiti 91 imeshambuliwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu Ujerumani
Feb 12, 2017 07:18Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imesema misikiti 91 na vituo vya dini ya Kiislamu vilishambuliwa nchini humo mwaka jana pekee 2016.
-
Mfuasi wa Trump amshambulia mwanamke Mwislamu New York
Jan 28, 2017 02:48Katika tukio jingine linalothibitisha kuwa uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu umeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Marekani, mfuasi wa Rais mpya wa nchi hiyo Donald Trump kutoka Massachusetts amemshambulia na kumjeruhi mwanamke Mwislamu katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa John F. Kennedy mjini New York.
-
Kukiri serikali ya Uingereza juu ya kuweko ubaguzi dhidi ya Waislamu
Jan 17, 2017 03:02Serikali ya Uingereza imekiri kwamba, Waislamu wa nchi hiyo wanaotafuta kazi wamekuwa wakibaguliwa na kufanyiwa vitendo visivyo vya kiadilifu.
-
Chuki dhidi ya Uislamu, chanzo cha kuhujumiwa misikiti Afrika Kusini
Jan 14, 2017 07:33Serikali ya Afrika Kusini imesema chuki dhidi ya Uislamu ndio chanzo cha hujumza mbili dhidi ya misikiti mjini Cape Town.
-
Mkutano wa London wa kujadili sababu za kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu Ulaya
Dec 12, 2016 11:24Mji mkuu wa Uingereza, London siku ya Jumamosi ulikuwa mwenyeji wa mkutano uliofanyika chini ya anuani ya "Mazingira ya Chuki na Utawala wa Kipolisi", mkutano ambao ulihudhuriwa na shakhsia mbalimbali wa kiakademia, vyuo vikuu na wa vyombo vya habari wa Uingereza, nchi zingine za Ulaya pamoja na Marekani.
-
Mbunge Mwislamu adhalilishwa na dereva wa teksi Marekani
Dec 08, 2016 07:36Mbunge wa kwanza mwenye asili ya Kisomali kuchaguliwa nchini Marekani amesema dereva mmoja wa teksi amemdhalilisha na kumtolea maneno ya chuki dhidi ya Uislamu mjini Washington.
-
Kansela wa Ujerumani ataka kupigwa marufuku burqa
Dec 07, 2016 07:19Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametoa wito wa kupigwa marufuku vazi la stara la burqa, linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu.