-
Hizbullah yasema Trump ni mtu mwenye chuki na ubaguzi
Nov 23, 2016 08:05Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuchaguliwa mwanasiasa mwenye chuki na ubaguzi nchini Marekani kwa upande mmoja; na maandamano ya nchi nzima ya kulalamikia ushindi wa bilionea huyo kwa upande mwingine, ni dhihirisho kuwa nchi hiyo iko katika mgogoro mkubwa.
-
Zaidi ya Misikiti 100 yahujumiwa nchini Uingereza, kuanzia Mei 2013
Nov 23, 2016 04:17Zaidi ya ya vituo vya Kiislamu na misikiti 100 imehujumiwa nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
-
Ongezeko kubwa la uhalifu wa chuki za kidini dhidi ya Waislamu nchini Marekani
Oct 24, 2016 06:18Ripoti mpya iliyotolewa inaonyesha kuwa, uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu umeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Marekani.
-
Askari waliostaafu Marekani watishia kuwachinja Waislamu Texas
Aug 09, 2016 13:47Wanajeshi waliostaafu katika jimbo la Texas nchini Marekani wametishia kuwakata vichwa kwa mapanga Waislamu watakaoenda kutekeleza ibada ya swala katika msikiti mmoja jimboni hapo.
-
Kulaaniwa chuki dhidi ya Uislamu katika bunge la California, Marekani
Aug 08, 2016 13:20Bunge la Jimbo la California nchini Marekani limepasisha muswada wa kulaani vitendo vya chuki dhidi ya Waislamu.
-
Rouhani: Ugaidi kwa jina la Uislamu ni kwa faida ya maadui wa dini hii
Aug 08, 2016 07:45Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyakosoa vikali makundi ya kigaidi yanayoendeleza harakati zao za kikatili kwa jina la Uislamu na kusisitiza kuwa vitendo hivyo vinafanyika kwa maslahi na manufaa ya maadui na wanaoeneza chuki dhidi ya dini hiyo tukufu.
-
Mme na mke washushwa kwenye ndege Marekani, kisa Waislamu
Aug 06, 2016 07:46Mwanamme mmoja na mkewe wa Marekani wameshushwa kwenye ndege ya shirika la Delta Airlines baada ya wahudumu kadhaa wa ndege hiyo kuwa na wasi wasi nao kwa kuwa ni Waislamu.
-
IOM yakosoa matamshi ya Trump dhidi ya wageni
Jul 24, 2016 02:52Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limeeleza wasiwasi wake kuhusu matamshi yaliyotolewa na mgombea kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Ttrump kuhusu raia wa kigeni na kusema matamshi hayo yanachochea chuki dhidi ya wageni.
-
Jumuiya za Kiislamu Marekani zapinga propaganda chafu katika vitabu vya shule
Jul 13, 2016 15:19Kundi linalojumuisha jumuiya 15 kubwa za Kiislamu nchini Marekani limelalamikia kitendo cha kuwekwa propaganda chafu dhidi ya Uislamu katika vitabu vya shule za jimbo la California.
-
$206m zatumika kueneza hofu na chuki dhidi ya Uislamu Marekani
Jun 22, 2016 04:05Imebainika kuwa kueneza chuki na woga dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Marekani kumegeuzwa kuwa biashara yenye kugharimu mamilioni ya dola za nchi hiyo.