Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Cuba

  • Cuba yasisitiza haki yake ya kujilinda kufuatia tishio la hujuma ya kijeshi kutoka Marekani

    Cuba yasisitiza haki yake ya kujilinda kufuatia tishio la hujuma ya kijeshi kutoka Marekani

    May 18, 2026 11:47

    Balozi wa Cuba katika Umoja wa Mataifa amesisitiza haki ya nchi yake kujilinda dhidi ya uwezekano wowote wa uvamizi wa kijeshi kutoka Marekani, kwa mujibu wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.

  • Havana yatahadharisha: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Cuba yatasababisha umwagaji damu

    Havana yatahadharisha: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Cuba yatasababisha umwagaji damu

    May 14, 2026 10:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba ametahadharisha kuwa: Hujuma yoyote ya kijeshi ya Marekani dhidi ya nchi hiyo itasababisha maafa ya binadamu na umwagaji damu.

  • Iran, Cuba, Brazil zataka kuheshimwa sheria za kimataifa

    Iran, Cuba, Brazil zataka kuheshimwa sheria za kimataifa

    Jan 06, 2026 03:21

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Cuba na Brazil wamesisitiza udharura wa kuwepo ushirikiano wa karibu na uratibu miongoni mwa nchi zinazostawi katika majukwaa ya kimataifa, ili kukabiliana na mfumo wa ubeberu; na kuunga mkono sheria za kimataifa na kanuni za Hati ya Umoja wa Mataifa.

  • Cuba: Marekani inaishinikiza Venezuela ili kuitwaa ardhi ya nchi hiyo

    Cuba: Marekani inaishinikiza Venezuela ili kuitwaa ardhi ya nchi hiyo

    Nov 26, 2025 03:41

    Bruno Rodriguez Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amesema kuwa Marekani inatumia uzushi kuhalalisha operesheni zake za kijeshi dhidi ya Venezuela, kwa lengo la kuiangusha serikali ya nchi hiyo na kudhibiti rasilimali za mafuta za nchi hiyo.

  • Sera za vikwazo dhidi ya Cuba: Mfano wa mbinu ya mabavu ya Washington katika kuamiliana na nchi nyingine

    Sera za vikwazo dhidi ya Cuba: Mfano wa mbinu ya mabavu ya Washington katika kuamiliana na nchi nyingine

    Nov 23, 2025 10:46

    Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa vikwazo vya Marekani vimeifanya hali ya kibinadamu nchini Cuba kuwa mbaya sana na ametaka kuondolewa haraka vikwazo hivyo.

  • Kwa nini Iran inataka kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Cuba bila masharti yoyote?

    Kwa nini Iran inataka kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Cuba bila masharti yoyote?

    Oct 31, 2025 09:15

    Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo vyote dhidi ya Cuba bila masharti yoyote.

  • Waziri Mkuu wa Cuba alaani vita vya Gaza na kunyimwa chakula wa watu wa eneo hilo

    Waziri Mkuu wa Cuba alaani vita vya Gaza na kunyimwa chakula wa watu wa eneo hilo

    Aug 06, 2025 03:23

    Waziri Mkuu wa Cuba ametuma jumbe kadhaa katika mitandao ya kijamii na kulaani sera za utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Kipalestina wa Ukanda wa Gaza za kuzuia kutolewa bidhaa za chakula na kuwasababisha njaa wakazi wa eneo hilo.

  • Wataalamu wa Vatican: Papa ajaye aliunganishe Kanisa kutokana na mpasuko mkubwa uliopo

    Wataalamu wa Vatican: Papa ajaye aliunganishe Kanisa kutokana na mpasuko mkubwa uliopo

    May 06, 2025 02:45

    Wakati Kanisa Katoliki linajiandaa kwa mkutano wa kumchagua Papa mpya utakaoanza kesho Jumatano, wachambuzi wa Vatican wanasema, makadinali wako chini ya mashinikizo ya kumchagua papa mwenye uwezo wa kuziba mgawanyiko unaoendelea kukua kati ya pande mbili kuu za wanamageuzi na wahafidhina ndani ya Kanisa hilo.

  • Cuba: Uhamiaji umekuwa biashara kwa Marekani

    Cuba: Uhamiaji umekuwa biashara kwa Marekani

    Mar 27, 2025 22:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amepinga viza ya kadi ya dhahabu ya kupewa makazi mkabawa wa dola milioni tano ya Marekani, na kuituhumu serikali ya Trump kwa kutumia suala la uhamiaji kama biashara, kwa kuuza nyumba na kuwafukuza wahamiaji haramu.

  • Cuba: Gaza ni mali ya wananchi wa Palestina

    Cuba: Gaza ni mali ya wananchi wa Palestina

    Feb 08, 2025 08:18

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Cuba imetangaza kuwa, inaunga mkono kikamilifu Palestina na kwamba, Gaza ni mali ya wananchhi wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS