Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Marekani yadai imeitupa baharini maiti ya Abu Bakr al Baghdadi

    Marekani yadai imeitupa baharini maiti ya Abu Bakr al Baghdadi

    Oct 29, 2019 16:36

    Mkuu wa majeshi ya Marekani amedai kuwa mwili wa aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi umetupwa bahaini baada ya kuthibitishwa kuwa wake kupitia kipimo cha vinasaba (DNA).

  • Abu Bakr al Baghdadi, Daesh na maafa yaliyosababishwa na kundi hilo

    Abu Bakr al Baghdadi, Daesh na maafa yaliyosababishwa na kundi hilo

    Oct 29, 2019 02:53

    Hatimaye kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi ameangamizwa, na Abdullah Qardash aliyekuwa afisa wa jeshi la Saddam Hussein nchini Iraq ameteuliwa na kundi hilo kuwa kiongozi mpya wa Daesh.

  • Mousavi: Iraq na Syria ziliisambaratisha kitambo ISIS kwa msaada wa Iran

    Mousavi: Iraq na Syria ziliisambaratisha kitambo ISIS kwa msaada wa Iran

    Oct 28, 2019 12:21

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) lilisambaratishwa na Iraq na Syria muda mrefu umepita, kwa msaada wa kilojistiki wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Ripoti: Al-Baghdadi aliponzwa na taarifa muhimu zilizotolewa na msaidizi wake wa karibu

    Ripoti: Al-Baghdadi aliponzwa na taarifa muhimu zilizotolewa na msaidizi wake wa karibu

    Oct 28, 2019 08:03

    Ismael al-Ethawi, mmoja wa wasaidizi wa karibu wa kiranja wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) Abubakar al-Baghdadi alivipatia vyombo vya intelijensia vya Iraq taarifa mnamo mwezi Februari mwaka 2018 kuhusu namna mpangaji huyo wa mashambulio kadhaa ya kigaidi alivyofanikiwa kukwepa kutiwa nguvuni kwa muda wa miaka kadhaa.

  • Kuangamizwa al Baghdadi na njama za Marekani za kujifanya inapambana na Daesh

    Kuangamizwa al Baghdadi na njama za Marekani za kujifanya inapambana na Daesh

    Oct 28, 2019 05:59

    Marekani pamoja na waitifaki wake wa Kiarabu na Kimagharibi ndio waliolianzisha, kulitia nguvu na kuliunga mkono kwa kila namna na hali na mali; genge la kigaidi na la ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa shabaha ya kuiangusha serikali halali ya Syria.

  • Abubakr al-Baghdadi, kiongozi wa Daesh auawa

    Abubakr al-Baghdadi, kiongozi wa Daesh auawa

    Oct 27, 2019 07:38

    Afisa mmoja wa Pentagon nchini Marekani amesema kuwa Abubakr al-Baghdadi, kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh ameuawa katika operesheni ya siri iliyotekelezwa kaskazini magharibi mwa Syria.

  • Mauaji ya kigaidi yaongezeka Iraq baada ya Marekani kuwahamishia nchini humo magaidi wa ISIS

    Mauaji ya kigaidi yaongezeka Iraq baada ya Marekani kuwahamishia nchini humo magaidi wa ISIS

    Oct 25, 2019 07:12

    Mauaji ya kigaidi yameongezeka dhidi ya maafisa wa serikali ya Iraq baada ya Marekani kuwahamishia nchini humo magaidi wa Daesh (ISIS) kutoka kaskazini mwa Syria kufuatia kushadidi mashambulizi ya Uturuki huko Syria.

  • Trump na misimamo ya undumakuwili kuhusu magaidi wa Daesh (ISIS)

    Trump na misimamo ya undumakuwili kuhusu magaidi wa Daesh (ISIS)

    Oct 15, 2019 08:10

    Licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kutoa onyo kuhusiana na kuibukka upya shughuli za kundi la kigaidi la Daesh (ISIS), kitendo cha kuondoa askari wa Kimarekani katika maeneo yanayoshambuliwa na Uturuki huko kaskazini mwa Syria, kimeandaa uwanja wa kufufuka upya kundi hilo la ukufurishaji ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Indhari kuhusu kujiunga viongozi wa Taliban na kundi la Daesh huko Afghanistan

    Indhari kuhusu kujiunga viongozi wa Taliban na kundi la Daesh huko Afghanistan

    Oct 06, 2019 08:01

    Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Afghanistan ametahadharisha kuhusu kujiunga viongozi wa kundi la Taliban na kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.

  • DAESH (ISIS) laua askari 14 katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria

    DAESH (ISIS) laua askari 14 katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Sep 26, 2019 07:35

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) limetangaza kuwa, limewaua askari 14 wa jeshi la Nigeria katika shambulio lililofanya hapo jana katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS