-
Trump azionya nchi za Ulaya, azitaka ziwachukue raia wake waliojiunga na ISIS
Sep 21, 2019 12:15Rais Donald Trump wa Marekani amezionya nchi za Ulaya akizitaka zihakikishe zimewachukua raia wao waliojiunga na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na wanaoendelea kushikiliwa nchini Iraq na Syria.
-
Maiti za zaidi ya wahanga elfu 12 wa Daesh zagunduliwa katika makaburi ya umati, Iraq
Sep 01, 2019 02:42Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu nchini Iraq imetangaza kuwa, maiti elfu 12 za wahanga wa ukatili na jinai za kundi la kigaidi la Daesh zimegunduliwa katika zaidi ya makaburi 200 ya umati.
-
Tishio jingine la Donald Trump la kuwahamishia magaidi wa Daesh katika nchi za Ulaya
Aug 23, 2019 02:25Nafasi ya Marekani na washirika wake wa Magharibi na wa Kiarabu katika kuanzisha na kueneza harakati za makundi ya kigaidi na kitakfiri likiwemo la Daesh si ya kukanushika hata kidogo.
-
Umoja wa Mataifa walaani shambulio la kigaidi Kabul, Afghanistan
Aug 19, 2019 08:15Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali shambulio la kigaidi la Kabul, mji mkuu wa Afghanistan lililosababisha makumi ya watu kuuawa na kulitaja kuwa linatisha.
-
London yakataa kuwapokea watoto wa magaidi wa Daesh raia wa Uingereza
Aug 14, 2019 02:34Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa watoto wa magaidi wa wanamgambo wa Daesh raia wa nchi hiyo ambao wako katika maeneo yaliyokumbwa na vita hawatarejeshwa nchini.
-
Pentagon yakadhibisha madai ya Trump, yasema Daesh bado inaendesha shughuli zake Iraq na Syria
Aug 08, 2019 04:01Rais Donald Trump wa Marekani tarehe 19 Disemba 2018 alitangaza kuwa, askari wa Marekani wataondoka nchini Syria. Trump alidai kuwa, sababu ya uamuzi huo ni kushindwa kundi la kigaidi la Daesh nchini Syria.
-
Iraq yatahadharisha kuhusu hatari ya mashambulizi ya wanawake Madaesh katika nchi mbalimbali
Aug 05, 2019 01:24Mkurugenzi wa Kitengo cha Kupambana na Ugaidi katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq ametahadharisha kuhusu hatari ya wanawake wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh wanaoelekea katika baadhi ya nchi za Kiarabu na zisizo za Kiarabu kwa ajili ya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi.
-
Trump atishia kuwaachilia magaidi wa Daesh warejee katika nchi za Ulaya
Aug 02, 2019 11:57Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kubuni na kueneza shughuli za makundi ya kigaidi likiweo la Daesh katika mgogoro wa Syria kwa lengo la kuindoa madarakani serikali halali ya nchi hiyo.
-
UN: Magaidi elfu 30 wa kundi la Daesh wangali hai
Jul 30, 2019 11:04Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh elfu 30 wangali hai.
-
Vyombo vya ujasusi vya Iraq: Kiongozi wa Daesh yuko Syria, amepooza viungo vya mwili
Jul 30, 2019 02:59Kundi la Vipanga (Falcons) la shirika la upelelezi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq limetangaza kuwa, kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi amejificha Syria na angali na satua baina ya wafuasi wa kundi hilo japokuwa amepooza viungo.