Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Waziri wa Mafuta wa Daesh (ISIL) auawa na askari wa Iraq nchini Syria

    Waziri wa Mafuta wa Daesh (ISIL) auawa na askari wa Iraq nchini Syria

    Jul 20, 2019 08:02

    Kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la Daesh ameangamizwa na vikosi vya kiintelijensia vya Iran katika mkoa wa Deir Ezzur, mashariki mwa Syria.

  • Wabunge wa Iraq: Ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni kituo cha Mossad na Daesh

    Wabunge wa Iraq: Ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni kituo cha Mossad na Daesh

    Jul 15, 2019 11:51

    Mbunge mwenye ushawishi mkubwa wa Iraq amefichua kwamba, ubalozi wa Marekani mjini Baghdad unajihusisha na harakati zinazotia wasiwasi na kwamba maajenti wa shirika la ujasusi la Israel, Mossad, na kundi la kigaidi la Daesh wamekuwa wakionekana wakiingia na kutoka katika jengo la ubalozi huo.

  • Kiongozi mmoja wa Daesh aangamizwa nchini Libya

    Kiongozi mmoja wa Daesh aangamizwa nchini Libya

    Jul 14, 2019 02:19

    Kiongozi mmoja wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ameangamizwa katika shambulizi la anga wapiganaji wanaoijiita Jeshi la Taifa la Libya wanaoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar.

  • Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kuungwa mkono oparesheni dhidi ya ugaidi katika mipaka ya Syria

    Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kuungwa mkono oparesheni dhidi ya ugaidi katika mipaka ya Syria

    Jul 07, 2019 07:48

    Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuendelezwa oparsheni za jeshi la ulinzi la nchi hiyo dhidi ya magaidi wa Daesh katika mpaka wa nchi hiyo na Syria.

  • Kiongozi wa Daesh (ISIS) aliyekuwa akitoa hukumu za kifo, atiwa mbaroni Mosul

    Kiongozi wa Daesh (ISIS) aliyekuwa akitoa hukumu za kifo, atiwa mbaroni Mosul

    Jul 06, 2019 04:21

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq imetangaza kwamba, kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) aliyekuwa akihusika kutoa hukumu za kifo, ametiwa mbaroni mjini Mosul.

  • Polisi ya Ulaya yatahadharisha kuhusu hatari ya Madaesh wa Uingereza barani Ulaya

    Polisi ya Ulaya yatahadharisha kuhusu hatari ya Madaesh wa Uingereza barani Ulaya

    Jul 01, 2019 07:48

    Polisi ya Ulaya (Europol) imetahadharisha kuhusu idadi kubwa ya raia wa Uingereza wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh walioko Syria na Iraq na hatari ya kurejea kwao huko Uingereza.

  • Magaidi 42 wa Daesh wauawa katika eneo la Ziwa Chad

    Magaidi 42 wa Daesh wauawa katika eneo la Ziwa Chad

    Jun 23, 2019 13:49

    Kikosi cha Pamoja cha Nchi Zinazopakana na Ziwa Chad (MNJTF) kimefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika kisiwa cha Doron Naira kwenye ziwa hilo.

  • Jeshi la Marekani latumia helikopta kuwaokoa magaidi wa Daesh Afghanistan

    Jeshi la Marekani latumia helikopta kuwaokoa magaidi wa Daesh Afghanistan

    Jun 22, 2019 13:17

    Jeshi la Marekani limetumia helikopta zake kuwaokoa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) nchini Afghanistan, kufuatia operesheni kali ya wapiganaji wa Taliban ya kulitokomeza genge hilo la ukufurishaji mashariki mwa nchi.

  • Magaidi wa Daesh wadai kuua makumi ya askari nchini Nigeria

    Magaidi wa Daesh wadai kuua makumi ya askari nchini Nigeria

    Jun 15, 2019 03:53

    Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) katika eneo la Magharibi mwa Afrika (ISWA) limedai kwamba limeua makumi ya askari wa Nigeria huko kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Iraq yawakabidhi watoto zaidi ya 188 wa magaidi wa Daesh wenye asili ya Uturuki

    Iraq yawakabidhi watoto zaidi ya 188 wa magaidi wa Daesh wenye asili ya Uturuki

    May 30, 2019 04:20

    Iraq imewakabidhi zaidi ya watoto 188 wa Kituruki ambao wazazi wao wametiwa mbaroni kutokana na kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh na makundi mengine ya kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS