Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Iraq yawahukumu kifo raia wa Ufaransa waliojiunga na ISIS (Daesh)

    Iraq yawahukumu kifo raia wa Ufaransa waliojiunga na ISIS (Daesh)

    May 27, 2019 04:18

    Mahakama nchini Iraq imewahukumu adhabu ya kunyongwa raia watatu wa Ufaransa, waliopatikana na hatia ya kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).

  • Daesh yatangaza kuhusika na mauaji ya askari 28 wa Niger

    Daesh yatangaza kuhusika na mauaji ya askari 28 wa Niger

    May 17, 2019 07:34

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) limetangaza kuhusika na shambulio dhidi ya msafara wa magari ya jeshi la Niger na kuua askari 28 wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Magaidi wa Daesh wadai wameua askari 11 kaskazini mwa Nigeria

    Magaidi wa Daesh wadai wameua askari 11 kaskazini mwa Nigeria

    May 12, 2019 06:49

    Wanajeshi 11 wa serikali wameuawa kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia shambulio la wanamgambo wanaosadikiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).

  • Afisa wa zamani wa Marekani: Serikali ya Trump inaficha ukweli wa nafasi muhimu ya Iran katika kupambana na ugaidi

    Afisa wa zamani wa Marekani: Serikali ya Trump inaficha ukweli wa nafasi muhimu ya Iran katika kupambana na ugaidi

    May 07, 2019 13:43

    Mshauri wa zamani katika masuala ya kimataifa nchini Marekani amesema kuwa, serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo inafanya njama za kuficha nafasi chanya na muhimu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi.

  • Jeshi la Iraq lafelisha njama za genge la Daesh (ISIS) za kutaka kurejea tena nchini humo

    Jeshi la Iraq lafelisha njama za genge la Daesh (ISIS) za kutaka kurejea tena nchini humo

    May 05, 2019 02:27

    Maafisa usalama nchini Iraq wametangaza kwamba, kikosi cha upelelezi cha nchi hiyo kimefanikiwa kufelisha njama za magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa ajili ya kuandaa mazingira ya kurejea tena ndani ya nchi hiyo.

  • Jasusi aliyesababisha mauaji ya kikatili ya watu 40 Iraq atiwa mbaroni

    Jasusi aliyesababisha mauaji ya kikatili ya watu 40 Iraq atiwa mbaroni

    May 01, 2019 14:03

    Shirika la Ujasusi wa Kijeshi la Iraq limetangaza habari ya kutiwa mbaroni jasusi mmoja wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) mjini Mosul ambaye alisababisha watu 40 kuuliwa kikatili nchini humo.

  • Kundi la Daesh (ISIS) latangaza kuhusika na shambulizi mjini Riyadh, Saudia

    Kundi la Daesh (ISIS) latangaza kuhusika na shambulizi mjini Riyadh, Saudia

    Apr 22, 2019 13:56

    Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) limetangaza kuhusika na shambulizi dhidi ya kituo kimoja cha polisi huko Riyadh, mji mkuu wa Saudia.

  • Kujitolea mhanga Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC) ni kwa manufaa ya usalama wa Ulaya

    Kujitolea mhanga Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC) ni kwa manufaa ya usalama wa Ulaya

    Apr 11, 2019 08:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Laiti kama Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lisingepigana bega kwa bega na wananchi mashujaa wa Iraq na Syria, DAESH (ISIS) ingekuwa imeshaidhibiti miji mikuu ya nchi hizo mbili za Kiarabu na kutuma jeshi la kigaidi hadi ndani ya mipaka ya Ulaya.

  • Magaidi wa Daesh watumia mapigano mapya Libya kuendeleza ukatili

    Magaidi wa Daesh watumia mapigano mapya Libya kuendeleza ukatili

    Apr 10, 2019 02:26

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) limetumia ombwe lililosababishwa na mapigano kati ya vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa na vile vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar nchini Libya, kuanzisha wimbi jipya la mauaji nchini humo.

  • Msemaji wa Netanyahu ashambuliwa vikali kwa kuwaita waandamanaji wa Kipalestina 'wake za ISIS'

    Msemaji wa Netanyahu ashambuliwa vikali kwa kuwaita waandamanaji wa Kipalestina 'wake za ISIS'

    Mar 31, 2019 07:49

    Msemaji wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amejiwa juu na watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter kwa kuwaita wanawake wa Kipalestina walioshiriki maandamano ya 'Haki ya Kurejea' huku wakiwa wamevalia vazi la stara la niqabu kuwa eti ni wake za wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS (Daesh).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS