-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia kuwa Marekani inaunga mkono magaidi wa Daesh na Al Qaeda
Jun 07, 2023 06:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema Marekani inaunga mkono makundi ya kigaidi nchini Afghanistan kwa lengo la kuliyumbisha eneo.
-
Kiongozi wa Daesh auawa katika operesheni ya jeshi la Uturuki nchini Syria
May 01, 2023 03:25Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan alitangaza jana Jumapili jioni kwambau kiongozi wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh), ameuawa katika operesheni ya kijasusi ya Uturuki nchini Syria.
-
Mgombea urais wa chama tawala cha Democratic akiri: Marekani ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh
Apr 22, 2023 22:03Robert F. Kennedy Jr ambaye ametangaza nia yake ya kugombea katika uchaguzi wa urais mwaka ujao nchini Marekani, amekiri kwamba nchi hiyo ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Chanzo cha usalama Iraq kimeonya: Daesh wanarejeshwa al Anbar chini ya usimamizi wa Marekani
Apr 10, 2023 04:22Chanzo cha ngazi za juu cha usalama katika mkoa wa al Anbar nchini Iraq kimetangaza kwamba maafisa wa serikali ya nchi hiyo wanapaswa kuwa na wasiwasi wa kujirudia hali ya mwaka 2014 magharibi mwa mkoa huo na kurudi kwa wapiganaji wa kundi la Daesh (ISIS).
-
Taliban: Waafghani ndio walengwa wakuu wa mashambulio ya DAESH (ISIS)
Mar 28, 2023 08:12Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Taliban anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, wananchi wa Afghanistan ndio walengwa wakuu wa hujuma na mashambulio ya kundi la kigaidi la DAESH (ISIS).
-
Afisa wa jeshi la Iraq: Zaidi ya wanachama 400 wa ISIS bado wako Iraq
Mar 13, 2023 03:53Afisa wa jeshi la Iraq amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) bado lina wapiganaji 400 hadi 500 katika nchi hiyo.
-
Iraq: Katika siku za usoni tutakuja kukabiliwa na kizazi kipya cha DAESH (ISIS)
Mar 06, 2023 06:29Msemaji wa Kamandi Kuu ya vikosi vya ulinzi vya Iraq ametoa indhari kwa kusema: "katika miaka michache ijayo, tutakabiliana na kizazi kipya cha magaidi wa DAESH (ISIS), tukiwa hatuna taarifa zozote za kukitambua kizazi hicho".
-
Indhari ya kuenea tishio la Daesh pasi na kutajwa waungaji mkono wake
Feb 13, 2023 22:56Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya katika ripoti yake ya kiduru kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba, licha ya hasara na pigo kubwa lililopita kundi la kigaidi la Daesh katika miaka ya hivi karibuni lakini tishio la la kundi hilo la kigaidi lingali linaongezeka kwa ulimwengu.
-
Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan
Feb 11, 2023 23:04Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kwamba: "Tishio la ugaidi limeongezeka baada ya Marekani kuondoka Afghanistan."
-
Magaidi karibu ya 20 wa Daesh wametoroka jela Syria kufuatia tetemeko la ardhi
Feb 07, 2023 08:31Takriban magaidi wa Daesh 20 waliokuwa wamefungwa jela katika gereza moja nchini Syria jana walitoroka baada ya kufanya uasi kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo na Uturuki jana asubuhi.