-
Maiti za raia waliouawa wakitoroka Daesh zatapakaa kwenye barabara za Mosul, Iraq
Jun 04, 2017 02:41Shirika moja la misaada ya kibinadamu limeripoti habari ya genge la kigaidi na kitakfiri la Daesh kuua makumi ya raia katika muda wa saa 48 zilizopita wakijarabu kuukimbia mji wa Mosul nchini Iraq.
-
Wazayuni waitaka Marekani iendelee kuliunga mkono kundi la Daesh (ISIS)
May 26, 2017 23:51Baadhi ya maafisa wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameishauri Marekani kuwa haipasi kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) litokomezwe kwa sababu kundi hilo halijawahi kuwa tishio na hatari kwa Israel.
-
Daesh yakiri kuuawa wanachama wake 110 na jeshi la Syria katika mkoa wa Daraa
May 23, 2017 10:04Mtandao mmoja wa habari wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Daraa kusini mwa Syria, umeandika kuwa, jumla ya wanachama 117 wa kundi hilo wameuawa na jeshi la nchi hiyo katika siku chache zilizopita.
-
Genge la Daesh (ISIS) linafanya majaribio ya silaha za kemikali kwenye mwili wa mwanadamu
May 22, 2017 22:49Duru za habari zimeripoti jinai mpya za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwamba wanachama wa kundi hilo wanafanya majaribio ya silaha zao za kemikali kwenye miili ya wanadamu.
-
90% ya mji wa Mosul wakombolewa, Magaidi 170 wauawa Iraq
May 16, 2017 09:56Kamanda wa Operesheni ya Jeshi la Iraq ametangaza habari ya kukombolewa asilimia 90 ya maeneo ya magharibi mwa mji wa Mosul yaliyokuwa yakishikiliwa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Kifo; chaguo la kulazimishwa kwa watoto wa Kiiraqi wanaohilikishwa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS)
May 13, 2017 22:04Tangu kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh lilipoanzisha hujuma na mashambulio yake ndani ya ardhi ya Iraq, watoto wa nchi hiyo wamekuwa na wanaendelea kuwa waathirika wakubwa zaidi wa jinai za kinyama za kundi hilo.
-
Independent : Daesh (ISIS) linawatesa kwa njaa watoto wa Kiiraqi ili kuwashajiisha wajiripue
May 12, 2017 11:44Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linawatesa kwa njaa watoto wadogo wa Iraq kwa ajili ya kuwalazimisha watekeleze vitendo vya kigaidi vya kujiripua katika maeneo ya raia wa kawaida.
-
Rais Ghani wa Afghanistan amesema kiongozi wa ISIS nchini humo ameuawa
May 08, 2017 03:21Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani amesema kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) nchini humo ameuawa katika mashambulizi ya pamoja ya jeshi la nchi hiyo na Marekani.
-
Magaidi wa ISIS washambulia kambi ya wakimbizi Syria na kuua 36
May 02, 2017 23:15Kwa akali watu 36 wameuawa katika shambulizi la kigaidi dhidi ya kambi ya wakimbizi lililofanywa jana Jumanne na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Gange la Daesh laua raia 10 nchini Iraq kwa kosa la kukataa kushirikiana nalo
May 02, 2017 03:19Wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh, wamewaua raia 10 katika mkoa wa Nainawa (Nineveh) nchini Iraq.