-
Abdullah Abdullah: Daesh na Taleban ndio maadui hatari sana wa Afghanistan
Apr 29, 2017 10:52Mkuu wa Baraza la Utendaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Afghanistan amesema kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na Taleban ndio maadui hatari zaidi kwa taifa hilo.
-
Kundi la kigaidi na kitakfiri la DAESH (ISIS) liliiomba radhi Israel kwa kuishambulia kimakosa
Apr 24, 2017 10:35Aliyekuwa Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Ya'alon amefichua kuwa magaidi wa kundi la ukufurishaji la Daesh waliwahi mara moja kuwashambulia kimakosa askari wa utawala huo katika eneo la miinuko ya Golan kusini mwa Syria lakini waliomba radhi haraka.
-
Polisi ya Ufaransa: Mtekelezaji wa shambulizi la Paris alikuwa mhalifu sugu
Apr 21, 2017 23:13Polisi ya Ufaransa imetangaza kuwa, mtu aliyehusika na shambulizi la jana mjini Paris alikuwa na historia ya uhalifu na kufungwa jela.
-
Hamid Karzai: Marekani ndio iliyoanzisha genge la kigaidi la Daesh
Apr 21, 2017 12:26Rais wa zamani wa Afghanistan, Hamid Karzai amesema kuwa, Marekani ndiyo ilianzisha kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) kwa ajili ya kufikia maslahi yake haramu katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Magaidi 19 wa Daesh wauawa katika shambulizi la anga Misri
Apr 20, 2017 09:35Kwa akali magaidi 19 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh akiwemo kamanda wa ngazi za juu wa genge hilo wameuawa katika shambulizi la anga la jeshi la Misri katika Peninsula ya Sinai.
-
Naibu mwingine wa Abu Bakr al-Baghdadi, mkuu wa Daesh auawa kwa kombora Mosul
Apr 19, 2017 11:32Jeshi la Iraq limetangaza habari ya kumuangamiza naibu mkuu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika operesheni iliyofanyika magharibi mwa mji wa Mosul hii leo.
-
Wasiwasi wa Guterres kuhusu hatari ya mabaki ya wanamgambo wa ISIS nchini Libya
Apr 16, 2017 01:59Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres Ijumaa usiku alitahadharisha kuhusu uwezekano wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) kuteka tena baadhi ya maeneo nchini Libya.
-
Jeshi la Iraq: Magaidi wa Daesh magharibi mwa Mosul wamezingrwa pande zote
Apr 15, 2017 09:39Msemaji wa kamandi ya operesheni za pamoja za jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi, amesema kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamezingirwa tokea pande zote za mji huo.
-
Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuwa Daesh wanaweza kuidhibiti tena Libya
Apr 15, 2017 00:17Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu hatari ya kupanuka zaidi udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika maeneo mbalimbali ya Libya na hali mbaya inayotawala maeneo yanayodhibitiwa na kundi hilo.
-
Magaidi 400 wa Daesh (ISIS) kutoka Syria wawasili bandari ya Aden nchini Yemen
Apr 13, 2017 12:26Duru moja ya kuaminika nchini Yemen imetangaza kuwa magaidi 400 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wakitokea nchini Syria wamewasili bandari ya Aden kusini mwa Yemen.