Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Magaidi 52 wa Daesh waangamizwa na jeshi la Iraq, Mosul

    Magaidi 52 wa Daesh waangamizwa na jeshi la Iraq, Mosul

    Apr 13, 2017 02:46

    Jeshi la Iraq limewaangamiza wanachama 52 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS katika operesheni za kusafisha eneo la magharibi mwa mkoa wa Mosul.

  • Brigedia Jenerali Rasool: Daesh inadhibiti chini ya 7% ya ardhi ya Iraq

    Brigedia Jenerali Rasool: Daesh inadhibiti chini ya 7% ya ardhi ya Iraq

    Apr 11, 2017 23:22

    Jeshi la Iraq limesema idadi ya ngome zilizokuwa zikidhibitiwa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini humo imedidimia kutoka asilimia 40 hadi chini ya asilimia 7 katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

  • Netanyahu: Tutaendelea kuwapa matibabu magaidi wa Syria

    Netanyahu: Tutaendelea kuwapa matibabu magaidi wa Syria

    Apr 09, 2017 23:09

    Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amesema Tel Aviv itaendelea kuwapa matibabu magaidi wanaojeruhiwa katika harakati zao za kujaribu kuingusha serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria.

  • Daesh yasema Marekani inaongozwa na rais mpumbavu

    Daesh yasema Marekani inaongozwa na rais mpumbavu

    Apr 05, 2017 03:03

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh ISIS limesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani ni mtawala mpumbavu ambaye kwa mikono yake ataitumbukiza nchi hiyo katika maangamivu makubwa.

  • Kuna uwezekano kinara wa Daesh Abubakar al-Baghdadi amenasa kwenye mzingiro wa Mosul

    Kuna uwezekano kinara wa Daesh Abubakar al-Baghdadi amenasa kwenye mzingiro wa Mosul

    Apr 03, 2017 03:16

    Duru moja ya Iraq imetangaza kuwa kuna uwezekano kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, Abubakar al-Baghdadi amenasa kwenye mzingiro uliowekwa kwenye mkoa wa Mosul.

  • Jeshi la Syria laangamiza magaidi zaidi ya 2000 wa kitakfiri, Hama

    Jeshi la Syria laangamiza magaidi zaidi ya 2000 wa kitakfiri, Hama

    Mar 31, 2017 10:22

    Jeshi la Syria limefanikiwa kuangamiza maelfu ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Jabhat Fateh al-Sham karibu na mji wa Hama, ulio magharibi mwa nchi.

  • Al-Abadi asisitiza kukaribia ushindi dhidi ya ISIS nchini Iraq, Trump ajikosha

    Al-Abadi asisitiza kukaribia ushindi dhidi ya ISIS nchini Iraq, Trump ajikosha

    Mar 30, 2017 23:33

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa ushindi dhidi ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh unakaribia.

  • Genge la Daesh laua raia 227 Mosul, kwa kutaka kukimbia maeneo yao

    Genge la Daesh laua raia 227 Mosul, kwa kutaka kukimbia maeneo yao

    Mar 27, 2017 23:26

    Jeshi la Iraq limetangaza kuwa, wanachama wa kundi la ukufurishaji la Daesh (ISIS) limeua raia 227 wakazi wa Mosul, baada ya raia hao kutaka kukimbia kutoka maeneo yanayodhibitiwa na magaidi hao.

  • Jeshi la Iraq ladhibiti kituo cha uongozi cha Daesh magharibi mwa Mosul

    Jeshi la Iraq ladhibiti kituo cha uongozi cha Daesh magharibi mwa Mosul

    Mar 24, 2017 11:38

    Jeshi la Iraq limefanikiwa kukidhibiti kikamilifu kituo cha uongozi cha kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katikati mwa mji wa Mosul, wakati huu ambapo vikosi vya jeshi la nchi hiyo vikipambana vikali kuukomboa mji huo wa pili kwa ukubwa na kuwafukuzia mbali matakfiri hao kutoka katika ngome yao hiyo ya mwisho nchini Iraq.

  • Askari 10 wa Misri wauawa katika hujuma ya bomu Sinai

    Askari 10 wa Misri wauawa katika hujuma ya bomu Sinai

    Mar 24, 2017 03:06

    Wanajeshi zaidi ya 10 wa Misri wameuawa baada ya gari walimokuwa kulengwa kwa shambulio la bomu katikati mwa Peninsula ya Sinai.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS