-
Daesh yatangaza kuhusika na shambulizi la kigaidi Uingereza, Iran yalaani hujuma hiyo
Mar 23, 2017 11:31Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) limetangaza kuhusika katika hujuma ya kigaidi nchini Uingereza ambayo limepelekea kwa akali watu watano kuuawa na wengine 40 kujeruhiwa.
-
HRW: Daesh imezika mamia ya watu katika kaburi la umati, Mosul
Mar 23, 2017 00:20Shirika la kutetea haki za bindamu la Human Rights Watch (HRW) limeripoti kuwa kundi la kigaidi la Daesh limeua mamia ya mahabusi katika mji wa kaskazini mwa Iraq wa Mosul na kuwazika katika kaburi la umati ambalo yumkini likawa kubwa zaidi ya makaburi yote ya umati yaliyogunduliwa nchini Iraq hadi hivi sasa.
-
'Makundi ya Lashkar-e-Jhangvi na Sipah-e-Sahaba ni wasaidizi wa ISIS nchini Pakistan'
Mar 21, 2017 00:17Katibu mkuu wa Baraza la Umoja wa Waislamu katika jimbo la Sindh nchini Pakistan amesema kuwa, makundi ya Lashkar-e-Jhangvi na Sipah-e-Sahaba ni wasaidizi wakuu wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.
-
Mwandishi aliposhambuliwa kwa kombora akiwa hewani mubashara
Mar 20, 2017 07:53Mwandishi wa televisheni ya al Alam, Haydar Qassim amejeruhiwa mguuni baada ya eneo alipokuwa anatoa ripoti yake kwa sura ya mubashara kushambuliwa kwa kombora na magaidi wa Daesh, magharibi mwa Mosul, kaskazini mwa Iraq.
-
Magaidi wa Daesh waamua kujisalimisha Mosul, Iraq baada ya kuzingirwa
Mar 19, 2017 12:04Jeshi la Iraq limetangaza habari ya kujisalimisha makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) eneo la magharibi mwa mji wa Mosul, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Syria lakomboa misikiti mitatu toka mikononi mwa Daesh
Mar 15, 2017 03:38Jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Syria vimekomboa misikiti mitatu iliyokuwa chini ya udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, mashariki mwa mji wa Damascus.
-
Jeshi la Iraq lawazingira kikamilifu magaidi wa genge la Daesh mjini Mosul
Mar 13, 2017 12:47Jeshi la Iraq limetangaza kuwa linawazingira kikamilifu wanachama wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) mjini Mosul, kaskazini mwa nchi hiyo, baada ya njia zote za kuingia na kutoka mji huo kudhibitiwa na jeshi hilo.
-
Wanachama wa Daesh waliohusika na mauaji ya umati jela ya Badush watiwa nguvuni
Mar 11, 2017 23:30Makundi ya kujitolewa na wananchi yanayopigana katika mji wa Mosul huko kaskazini mwa Iran dhidi ya kundi la kitakfiri na kiwahabi la Daesh wamewatia nguvuni makumi ya wanachama wa kundi hilo waliofanya mauaji ya wafungwa wasiongua 500 katika jela ya Badush baada tu ya kukalia kwa mabavu mji wa Mosil mwaka 2014.
-
Daesh laua zaidi ya watu 30 katika hospitali ya kijeshi Afghanistan
Mar 08, 2017 12:33Wanamgambo waliojizatiti kwa silaha nzito wameua zaidi ya watu 30 na kuwajeruhi wengine wapatao 50 katika shambulio walilofanya dhidi ya hospitali kubwa zaidi ya kijeshi ya Sardar Daud Khan iliyopo katikati mwa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Mafanikio makubwa huko Iraq; kukimbia Daesh kutoka Mosul hadi Raqqa
Mar 08, 2017 04:06Ushindi vilioupata vikosi vya jeshi la Iraq katika mji wa Mosul kukiwemo kudhibiti majengo muhimu ya serikali umewapelekea makamanda wa kundi la kigaidi la Daesh kuwataka magaidi waukimbie mji wa Mosul na kuelekea Raqqa nchini Syria.