-
Mkutano wa kimataifa wa kupambana na madawa ya kulevya waanza mjini Tehran
Feb 27, 2017 07:46Mkutano wa kimataifa wa kupambana na madawa ya kulevya umeanza kufanyika hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na shakhsia mbalimbali wa ndani na wa kimataifa.
-
Viongozi wa Kiislamu Tanzania waunga mkono vita dhidi ya mihadarati
Feb 10, 2017 08:07Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania Alhad Mussa Salum amesema dawa za kulevya zinateketeza nguvukazi ya taifa, jambo ambalo halipaswi kuachwa liendelee kumea.
-
Vifo vinavyotokana na utumiaji mihadarati na pombe Marekani vimeongezeka mara tatu
Dec 17, 2016 04:23Watafiti wa elimu ya tiba nchini Marekani wametangaza kuwa uchunguzi waliofanya katika maeneo 3,100 ya nchi hiyo unaonesha kuwa tangu mwaka 1980 hadi sasa idadi ya Wamarekani wanaofariki kutokana na utumiaji madawa ya kulevya, pombe na maradhi yanayotokana na matatizo ya akili imeongezeka mara tatu.
-
Iran iko Mstari wa Mbele Kukabiliana na Dawa za Kulevya
Oct 09, 2016 08:08Ghulam Hussein Dehqani, Balozi na Naibu Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa katika kikao cha Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu dawa za kulevya alisema, zaidi ya asilimia 80 ya ufyuni na zaidi ya asilimia 40 ya heroini inayokamatwa kutoka kwa walanguzi duniani hukampatwa na vikosi vya usalama vya Iran.
-
Wakuu wa Saudia wanafanya biashara ya mihadarati wakati wa Hija
Jul 07, 2016 04:21Maafisa wa ngazi za juu katika ufalme wa Saudi Arabia wamekuwa wakiingiza dawa za kulevya nchini humo kwa kutumia mabasi yanayowabeba mahujaji, imefichuliwa.