-
Pakistan yaanza kutekeleza mchakato wa kuitosa sarafu ya dola
Jun 15, 2023 06:34Pakistan imechukua hatua ya kwanza ya kivitendo ya kutekeleza sera yake mpya ya kuachana na sarafu ya dola katika miamala na mabadilishano yake ya bidhaa, kwa kutumia sarafu ya Yuan ya China kununua mafuta ghafi ya Russia kwa bei nafuu.
-
Marekani yakiri; Vikwazo vimepunguza matumizi ya dola duniani
Jun 15, 2023 02:51Waziri wa Hazina ya Taifa ya Marekani amekiri kuwa, vikwazo vya Washington vinaelekea kusambaratisha ukiritimba na matumizi ya safaru ya dola katika miamala ya kibiashara duniani.
-
Ombi la upanuzi wa BRICS; jaribio la kukomesha utawala wa sarafu ya dola ya Marekani
Apr 30, 2023 03:34Nchi 19 za dunia zimeeleza nia yao ya kutaka kujiunga na kundi la BRICS, huku kundi hili, kama taasisi mpya ya kimataifa, likitaka kupanua ushirikiano wa kifedha na kiuchumi kati ya nchi wanachama. BRICS pia imetoa wito wa kufanyika mabadiliko ya miundo ya taasisi za kimataifa, hasa mabadilishano ya kifedha ya kimataifa, na kukabiliana na udhibiiti wa dola ya Marekani katika biashara ya kimataifa.
-
Ramani ya Utaratibu Mpya wa Ulimwengu; Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kudhoofika sarafu ya dola
Apr 13, 2023 12:19Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne ya tarehe 4 Aprili alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika mkutano na viongozi na maafisa watendaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
kufutwa sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara kati ya Brazil na China
Apr 02, 2023 02:23Serikali za Brazil na China Jumatano, Machi 29, zilitangaza makubaliano ambapo dola ya Marekani utatupiliwa mbali na kuondolewa katika miamala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili.
-
Nchi za Asia Kusini zapania kuachana na matumizi ya dola, yuro
Mar 30, 2023 02:14Jumuiya ya Nchi za Kusini Mashariki mwa Asia (ASEAN) inatazamiwa kujadili mpango wa kuachana na matumizi ya sarafu ya dola ya Marekani na yuro ya Ulaya katika miamala yao ya kibiashara.
-
Ghana kuipiga kando dola ya Marekani katika ununuzi wa mafuta
Nov 26, 2022 02:33Serikali ya Ghana inaanda sera mpya ya kununua bidhaa za mafuta kwa kutumia dhahabu badala ya sarafu ya dola ya Marekani.
-
Hatua mpya ya Russia ya kuachana na utegemezi wa sarafu ya dola
Jul 09, 2021 09:50Wizara ya Fedha ya Russia imetangaza kuwa, imeondoa kikamilifu sarafu ya dola kwenye Mfuko wa Hazina ya Taifa wa nchi hiyo uliokuwa na akiba ya takriban dola bilioni 65 na kuzibadilisha fedha hizo katika sarafu nyingine za kigeni.
-
Uturuki na Russia zatupilia mbali sarafu ya dola katika biashara
Oct 10, 2019 04:19Uturuki na Russia zimetia saini mapatano ya kutupilia mbali sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara baina yao.
-
Mwito wa Uingereza wa kukomeshwa ukiritimba wa sarafu ya dola
Aug 26, 2019 01:38Msimamo wa Marekani wa kutumia vibaya sarafu ya dola katika masuala ya biashara na ya fedha kimataifa kwa lengo la kufanikishia malengo yake haramu, umewakasirisha hata waitifaki wa karibu mno wa Washington kama vile Uingereza ambayo sasa imetoa mwito wa kukomeshwa ukiritimba wa matumizi ya sarafu ya dola duniani.