-
Iran kuishtaki Marekani kwa kutumia ushahidi wa Trump
May 30, 2018 03:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inajiandaa kuishtaki Marekani kwa kushiriki kwa njia isiyo ya moja kwa moja katika mashambulizi ya kigaidi ya mwaka jana hapa nchini, kwa kutumia ushahidi wa Rais Donald Trump.
-
Trump na Shinzō Abe wapanga kuibana zaidi Korea Kaskazini
May 29, 2018 02:48Rais Donald Trump wa Marekani na Shinzō Abe, Waziri Mkuu wa Japan wamekubaliana kuhakikisha wanailazimisha Korea Kaskazin iachane na silaha zake za nyuklia na makombora ya balestiki.
-
Zarif: Stratejia mpya za Trump zitafanya Marekani itengwe zaidi
May 27, 2018 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema stratejia mpya zilizotangazwa hivi karibuni na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani eti dhidi ya Tehran zitaifanya Washington itengwe zaidi kimataifa.
-
IMF: Marekani iangalie upya sera zake dhidi ya Iran na Russia
May 26, 2018 03:13Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha Duniani IMF amemuasa Rais Donald Trump wa Marekani kuangalia upya sera zake za kushadidisha vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia.
-
Kongresi ya Marekani yampiga marufuku Trump kutangaza vita dhidi ya Iran
May 25, 2018 22:36Wabunge wa Kongresi ya Marekani wamepasisha kwa kauli moja muswada wa marekebisho ya sheria inayompiga marukufu Rais Donald Trump kutangaza vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bila ridhaa ya Bunge hilo.
-
Mwanahistoria wa Marekani: Trump atafikwa na hatima sawa na ya Nixon
May 22, 2018 03:26Mwanahistoria mashuhuri wa Marekani ametabiri kuwa urais wa Donald Trump utafikia tamati kwa kusailiwa kiongozi huyo.
-
Donald Trump awatusi tena wahajiri kwa kuwaita kuwa ni wanyama
May 19, 2018 02:15Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine ametoa matamshi mabaya yenye kuwavunjia heshima wahajiri au wahamiaji nchini humo kwa kuwataja kuwa ni wanyama.
-
Trump: Huenda kiongozi wa Korea Kaskazini akapatwa na hatima kama ya Gaddafi
May 18, 2018 23:43Rais Donald Trump wa Marekani amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un kuwa huenda akapatwa na hatima kama iliyomfika kiongozi wa zamani wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi, iwapo Pyongyang haitaachana na mradi wake wa silaha za nyuklia.
-
Leon Panetta: Serikali ya Trump inaficha ukweli kuhusiana na vita vya Afghanistan
May 14, 2018 22:11Waziri wa zamani wa Ulinzi nchini Marekani Leon Panetta ameikosoa serikali ya Rais Donald Trump kwa kuficha ukweli wa mambo kuhusiana na kile kinachoendelea kuhusu vita nchini Afghanistan.
-
Kansela wa Ujerumani Merkel apoteza matumaini kuhusu Marekani
May 11, 2018 03:44Kansela Angela Merkel wa Ujerumani kwa mara nyingine amesema nchi za Ulaya haziwezi kuendelea kuitegemea Marekani katika masuala ya kijeshi na kujihami. Merkel amewataka waitifaki wa Ujerumani barani Ulaya wachukue hatima ya bara hilo mikononi mwao kwani Marekani haiwezi kutegemewa tena.