-
Uingereza yakosoa vitisho vya Trump vya kuanzisha vita vya kibiashara na EU
Mar 05, 2018 04:36David Lidington, Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amekosoa vikali vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani vya kuanzisha vita vya kibiashara na Umoja wa Ulaya.
-
Marais Donald Trump na Abdel Fattah el-Sisi waijadili Iran
Mar 05, 2018 04:26Ikulu ya Marekani imetangaza kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo asubuhi ya leo amefanya mazungumzo ya simu na Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri kuihusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Trump ataka Marekani iwe na 'rais wa maisha kama China'
Mar 04, 2018 04:42Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayoashiria kuwa angependa kuiona nchi hiyo ikiwa na rais wa kudumu maisha.
-
Wapalestina 35 wameuawa shahidi tangu Trump aitangaze Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa Israel
Mar 01, 2018 04:07Wapalestina 35 wameuawa shahidi na wanajeshi wa utawala dhalimu wa Israel tangu Rais Donald Trump wa Marekani aitangaze Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel Disemba mwaka jana.
-
Makundi tofauti ya Palestina yamuonya Trump juu ya kuhamishia ubalozi wa US mjini Quds
Feb 24, 2018 04:28Shakhsia na viongozi wa makundi tofauti ya Palestina yamemuonya Rais Donald Trump wa Marekani juu ya kuzidisha mgogoro wa eneo la Mashariki ya Kati kufuatia hatua yake ya kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi hiyo kutoka Tel Aviv kwenda mji wa Quds ambayo imepangwa kutekelezwa sawa na siku ya Nakba (inayokumbushia uvamizi wa Israel dhidi ya ardhi za Wapalestina.)
-
Wauzaji wa silaha za moto Marekani wapongeza msimamo hasi wa Trump
Feb 23, 2018 04:08Chama cha Wauzaji Bunduki Marekani NRA kimepongeza pendekezo lililotolewa na Rais Donald Trump la kutaka kupewa silaha za moto walimu wa shule za nchi hiyo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo.
-
Chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) zimeongezeka Marekani tangu Trump aingie madarakani
Feb 22, 2018 13:17Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kuwa tokea Donald Trump alipoingia madarakani, idadi ya makundi yenye chuki na Uislamu na ukubwa wa harakati zao vimeongezeka nchini humo.
-
Trump: Njia ya kuzuia mashambulizi ya shuleni US ni kuwapa silaha za moto walimu
Feb 22, 2018 01:06Rais Donald Trump wa Marekani ametoa pendekezo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo akisema kuwa, njia pekee ya kuzuia suala hilo ni kuwapatia silaha za moto walimu.
-
Trump angalau ona aibu; mwanafunzi aliyebaki hai Stoneman Douglas amwambia rais wa Marekani
Feb 18, 2018 23:34Mwanafunzi wa skuli ya sekondari ya Stoneman Douglas huko Parkland, katika jimbo la Florida nchini Marekani ambayo hivi karibuni ilishuhudia bahari ya damu baada ya kijana wa miaka 19 kuivamia skuli hiyo na kufanya mauaji ya kutisha, amemtaka rais wa Marekani, Donald Trump, aone haya na ajiheshimu.
-
Gazeti lafichua: Trump alikuwa na uhusiano haramu na mwanamitindo wa jarida la picha za ngono
Feb 17, 2018 23:42Gazeti la New Yorker la nchini Marekani limefichua kuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump aliwahi kuwa na uhusiano haramu wa kingono kwa muda wa miezi tisa na mwanamke mmoja mwanamtindo wa jarida la picha za ngono.