Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Carl Bernstein: Marekani haijawahi kuwa na Rais mwongo kama Donald Trump

    Carl Bernstein: Marekani haijawahi kuwa na Rais mwongo kama Donald Trump

    Feb 12, 2018 23:27

    Carl Bernstein, mwandishi wa habari wa Kimarekani amesema kuwa, katika historia yake Marekani haijawi kuwa na Rais mwongo kama Donald Trump.

  • Wabunge wa Marekani wamtaka Trump aendelee kuipatia misaada UNRWA

    Wabunge wa Marekani wamtaka Trump aendelee kuipatia misaada UNRWA

    Feb 12, 2018 11:22

    Wawakilishi 102 wa chama cha Democrat nchini Marekani wamemuandikia barua Rais wa nchi hiyo wakimtaka asikate misaada ya kifedha kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

  • Wapalestina na siasa za kinyama za Donald Trump

    Wapalestina na siasa za kinyama za Donald Trump

    Feb 09, 2018 03:11

    Marekani imeshurutisha suala la kuanza tena kutoa msaada kwa Wakala wa Umoja wa Mataifa kwa Ajili ya Wakimbizi wa Palesrina (UNRWA) kwa mambo ambayo yanakinzana na maslahi ya Wapalestina.

  • Wademocrat waliotuhumiwa na Trump kuwa ni wahaini wachukizwa na matamshi hayo

    Wademocrat waliotuhumiwa na Trump kuwa ni wahaini wachukizwa na matamshi hayo

    Feb 06, 2018 23:04

    Viongozi wa chama cha Democrat nchini Marekani, wamekosoa matamshi ya Rais Donald Trump aliyewataja kuwa ni wahaini na kusema kuwa, rais huyo anafuata mienendo ya udikteta.

  • China yapinga stratijia mpya ya Marekani ya silaha za nyuklia

    China yapinga stratijia mpya ya Marekani ya silaha za nyuklia

    Feb 05, 2018 23:15

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amesema nchi yake inapinga stratijia ya mpya ya Marekani ya silaha za nyuklia iliyotangazwa Ijumaa

  • Trump na ungamo la udhaifu wa jeshi la Marekani

    Trump na ungamo la udhaifu wa jeshi la Marekani

    Feb 03, 2018 00:08

    Rais wa Marekani Donald Trump ameungama na kukiri hadharani kuwa jeshi la nchi hiyo ni dhaifu na ametaka wizara ya ulinzi, Pentagon, itengewe fedha nyingi zaidi.

  • Amri ya Trump ya kuendelea shughuli za gereza linalonuka kwa ubaya la Guantanamo

    Amri ya Trump ya kuendelea shughuli za gereza linalonuka kwa ubaya la Guantanamo

    Feb 01, 2018 23:29

    Baada ya kupita masaa machache tu tangu Donald Trump atoe hotuba yake ya kila mwaka mbele ya Kongresi, rais huyo wa Marekani ametoa amri jela inayonuka kwa ubaya ya Guantanamo iendelee na shughuli zake.

  • Sisitizo la Umoja wa Ulaya la kupatiwa suluhisho mgogoro wa Mashariki ya Kati

    Sisitizo la Umoja wa Ulaya la kupatiwa suluhisho mgogoro wa Mashariki ya Kati

    Feb 01, 2018 07:50

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesema suluhisho la kuundwa nchi mbili kwa ajili ya mgogoro wa Mashariki ya Kati halina chaguo jengine mbadala la kisiasa lenye itibari na la kudumu.

  • Je, Trump yuko pamoja au dhidi ya watu wa Iran?

    Je, Trump yuko pamoja au dhidi ya watu wa Iran?

    Jan 31, 2018 23:07

    Rais Donald Trump wa Marekani katika hotuba yake ya kila mwaka mbele ya Bunge la Kongresi la nchi hiyo, kwa mara nyingine tena amedia kuwa eti yuko pamoja na watu wa Iran.

  • PLO: Hakuna mazungumzo na Marekani bila ya kufutwa uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    PLO: Hakuna mazungumzo na Marekani bila ya kufutwa uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Jan 31, 2018 04:40

    Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesisitiza kuwa, hakutafanyika mazungumzo au maonyesho yoyote yale na Marekani madhali Rais Donald Trump wa nchi hiyo hajafuta uamuzi wake wa kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS