Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Rais wa Botswana asema Trump anashajiisha ujangili, magendo ya vipusa

    Rais wa Botswana asema Trump anashajiisha ujangili, magendo ya vipusa

    Mar 18, 2018 13:01

    Rais Ian Khama wa Botswana amesema Rais Donald Trump wa Marekani anaunga mkono na kushajiisha ujangili barani Afrika, kufuatia hatua yake ya hivi karibuni ya kuangalia upya marufuku ya vipusa na bidhaa nyingine zilizotengenezwa kwa pembe za ndovu.

  • Mwakilishi wa Democrat: Trump ni tishio kubwa kwa usalama wa Marekani; wakati wa kumuondoa umefika

    Mwakilishi wa Democrat: Trump ni tishio kubwa kwa usalama wa Marekani; wakati wa kumuondoa umefika

    Mar 17, 2018 12:14

    Mwakilishi wa chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema rais Donald Trump ni tishio kubwa sana kwa usalama wa nchi hiyo.

  • Kupigwa kalamu nyekundu Tillerson; mtingishiko ndani ya serikali ya Trump

    Kupigwa kalamu nyekundu Tillerson; mtingishiko ndani ya serikali ya Trump

    Mar 14, 2018 04:50

    Hatimaye Rex Tillerson amepigwa kalamu nyekundu na kuuzuliwa wadhifa wa uwaziri wa mambo ya nje wa Marekani. Rais Donald Trump wa Marekani ametoa ujumbe kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Twitter wa kutangaza moja ya mabadiliko makubwa ya baraza la mawaziri katika kipindi cha urais wake.

  • Rais Trump aingia katika vita vya maneno na gavana wa jimbo la California

    Rais Trump aingia katika vita vya maneno na gavana wa jimbo la California

    Mar 14, 2018 04:12

    Rais Donald Trump wa Marekani ameanzisha vita vipya vya maneno na Jerry Brown, gavana wa jimbo la California nchini humo.

  • Trump amfuta Waziri wa Mambo ya Nje Tillerson, mkuu wa CIA achukua nafasi hiyo

    Trump amfuta Waziri wa Mambo ya Nje Tillerson, mkuu wa CIA achukua nafasi hiyo

    Mar 13, 2018 12:31

    Rais Donald Trump wa Marekani amemfuta kazi Waziri wake wa Mambo ya Nje, Rex Tillerson na kumteua Mkurugenzi wa Shirika Kuu la Ujasusi, CIA, Mike Pompeo kuchukua nafasi hiyo.

  • Mawakili wa Marekani, Palestina na Jordan kupinga uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Mawakili wa Marekani, Palestina na Jordan kupinga uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Mar 13, 2018 12:24

    Wanasheria na mawakili kadhaa wa Marekani, Palestina na Jordan wametangaza kuwa wako tayari kufungua mashtaka mahakamani dhidi ya uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu wa kuitambua Quds tukufu (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel na kutaka kuhamishia ubalozi wa Marekani katika mji huo.

  • Kashfa za ngono zaendelea kumwandama Rais wa Marekani

    Kashfa za ngono zaendelea kumwandama Rais wa Marekani

    Mar 09, 2018 21:56

    Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa, kashfa ya mahusiano haramu ya ngono inayomwandama Rais Donald Trump wa nchi hiyo inazidi kupamba moto na kwamba kiongozi huyo ameamua kumwajiri wakili mashuhuri kwa ajili ya kujinasua katika kinamasi hicho.

  • Uamuzi wa Trump kuhusu Quds waendelea kupingwa

    Uamuzi wa Trump kuhusu Quds waendelea kupingwa

    Mar 09, 2018 12:34

    Wimbi jipya la upinzani dhidi ya maamuzi ya viongozi wa Marekani wanaotaka kutambuliwa Quds (Jerusalem) kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, limechukua mkondo wake.

  • Uzembe wa nchi za Kiarabu umeongeza uadui Marekani dhidi ya Quds Tukufu

    Uzembe wa nchi za Kiarabu umeongeza uadui Marekani dhidi ya Quds Tukufu

    Mar 09, 2018 03:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Riyadh Al-Maliki amesema, uzembe na upuuzaji wa nchi za Kiarabu kuhusu kadhia ya Palestina katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita ndicho chanzo cha kuongezeka uadui na jeuri za Marekani dhidi ya Quds Tukufu.

  • Trump alegeza msimamo na kukubali kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini

    Trump alegeza msimamo na kukubali kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini

    Mar 09, 2018 03:06

    Rais Donald Trump wa Marekani amelegeza msimamo na kukubali kukutana na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jon-un mwezi Mei mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS