Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Clinton: Trump ameifanya Marekani ionekane nchi ya kijinga kuhusu Iran

    Clinton: Trump ameifanya Marekani ionekane nchi ya kijinga kuhusu Iran

    Oct 17, 2017 00:53

    Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton amesema hatua ya Rais Donald Trump ya kuvuruga mapatano ya nyuklia ya Iran ya mwaka 2015 ni jambo ambalo limeifanya Marekani ionekane kuwa nchi duni na ya kijinga.

  • Brigedia Jenerali Ashtari: Matamshi ya Trump dhidi ya SEPAH yanadhihirisha upunguani wake

    Brigedia Jenerali Ashtari: Matamshi ya Trump dhidi ya SEPAH yanadhihirisha upunguani wake

    Oct 16, 2017 10:48

    Mkuu wa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matamshi ya chuki na kiuadui ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH yanatokana na upunguani wake na kutofahamu kwake dunia.

  • Larijani: Marekani haiheshimu mapatano ya kimataifa

    Larijani: Marekani haiheshimu mapatano ya kimataifa

    Oct 15, 2017 23:02

    Spika wa Bunge la Iran Ali Larijani amesema Rais Donald Trump wa Marekani hajali mapatano ya kimataifa na wala haheshimu Umoja wa Mataifa na amezionyesha nchi zote kuwa nchi yake haiminiki.

  • Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni Fakhari ya Taifa la Iran

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni Fakhari ya Taifa la Iran

    Oct 15, 2017 10:18

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni fakhari kubwa kwa taifa la Iran.

  • Kutoridhishwa Ulaya na msimamo wa Trump ulio dhidi ya makubaliano ya JCPOA

    Kutoridhishwa Ulaya na msimamo wa Trump ulio dhidi ya makubaliano ya JCPOA

    Oct 15, 2017 04:45

    Viongozi wa nchi tatu kubwa za Ulaya yaani Theresa May Waziri Mkuu wa Uingereza, Angela Merkel Kansela wa Ujerumani na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wameleeza wasiwasi wao kupitia taarifa ya pamoja waliyotoa kuhusu msimamo usiofaa wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu JCPOA. Taarifa ya viongozi hao wa nchi tatu kubwa za Ulaya imetolewa kufuatia matamshi ya Rais wa Marekani kuhusiana na stratejia ya nchi hiyo mkabala na Iran.

  • Iran: Trump ni mfanyabiashara, hajui chochote kuhusu siasa na diplomasia

    Iran: Trump ni mfanyabiashara, hajui chochote kuhusu siasa na diplomasia

    Oct 15, 2017 04:32

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Katika Masuala ya Kimataifa amesema tabia zisizo na mantiki za Rais Donald Trump wa Marekani zinaashiria kuwa hajui siasa wala hana ufahamu kuhusu mambo ya historia.

  • Zarif: Wairani wote ni

    Zarif: Wairani wote ni "Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu"

    Oct 14, 2017 12:45

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu yay Iran amesema katika radiamali yake kwa matamshi ya chuki na kiuadui ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwamba hii leo Wairani wote, wake kwa waume na vijana kwa wazee ni "Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu".

  • Ayatullah Shahroudi: Uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi kudhoofishwa

    Ayatullah Shahroudi: Uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi kudhoofishwa

    Oct 14, 2017 11:59

    Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mashinikizo ya Marekani ya kutaka kuuwekea mipaka uwezo wa kijeshi na kiulinzi wa Iran hayakubaliki na kusisitiza kwamba uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi kudhoofishwa.

  • John Kerry: Trump anasema uongo kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    John Kerry: Trump anasema uongo kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Oct 13, 2017 04:05

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry ameukosoa vikali msimamo hasi ambao unatazamiwa kutangazwa na rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusiana na makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na nchi zinazounda kundi la 5+1.

  • Financial Times: Hatua za Trump dhidi ya Iran zinaonesha kuwa Marekani haiaminiki

    Financial Times: Hatua za Trump dhidi ya Iran zinaonesha kuwa Marekani haiaminiki

    Oct 12, 2017 08:40

    Gazeti la Financial Times linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa, hatua na mienendo ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran zinaonesha kuwa, Marekani ni nchi isiyoaminika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS