-
Sera za kigeni za Marekani na jinamizi la Donald Trump
Mar 29, 2016 02:52Huku kukiwa na uwezekano mkubwa wa kupata ushindi Donald Trump katika uteuzi wa mgombea wa chama cha Republican kuwania urais Marekani, kumeibuka wasi wasi kuhusu taathira hasi ya mwanasiasa huyo wa kutatanisha na bilionea katika sera za kigeni za Marekani.
-
'Kampeni za urais zinaiaibisha Marekani'
Mar 28, 2016 02:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry amekiri kuwepo utovu wa nidhamu katika kampeni za uchaguzi wa rais nchini humo na kusema jambo hilo limepelekea Marekani kuaibika kimataifa.
-
Sanders: Matamshi ya Trump kuhusu Waislamu yanakera
Mar 24, 2016 03:34Mgombea tiketi ya chama cha Democratic kwa ajili ya kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais nchini Marekani, Bernie Sanders amekosoa vikali matamshi yanayotolewa na mgombea mwenzake wa chama cha Republican, Donald Trump dhidi ya Waislamu akisema mashambulizi dhidi ya Waislamu wote duniani kwa kutumia kisingizio cha matukio kama yale ya hivi majuzi mjini Brussels yanakasirisha na yanapingana na katiba ya Marekani.
-
Trump, mgombea urais Marekani atoa vitisho visivo vya kawaida
Mar 17, 2016 23:20Donald Trump, anayewania uteuzi wa chama cha Republican kugombea kiti cha urais Marekani ametishia kuwa, iwapo hatateuliwa na chama hicho, basi watu wasubiri ghasia na machafuko kote Marekani.
-
Matamshi ya fitna ya Trump yawatia wasiwasi wanadiplomasia wa kigeni walioko Marekani
Mar 08, 2016 04:04Wanadiplomasia wa kigeni walioko Marekani wamewalalamikia baadhi ya maafisa wa serikali ya nchi hiyo kuhusiana na matamshi ya uzushaji fitna na ya matusi ya Donald Trump, mwanasiasa wa Chama cha Republican anayeongoza katika kampeni za kuwania uteuzi wa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.
-
Ujerumani: Trump ni hatari kwa amani na usalama wa dunia
Mar 06, 2016 21:48Makamu Chansela wa Ujerumani amesema Donald Trump, mgombea wa kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican ni hatari kwa amani na maendeleo duniani.
-
Mmarekani mweusi afukuzwa katika mkutano wa Trump
Mar 03, 2016 10:59Mgombea wa kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, Dolad Trump amemfukuza mwanamke mmoja mweusi wa nchi hiyo katika mkutano wake wa kampeni.
-
Papa: Donald Trump si Mkristo
Feb 19, 2016 00:10Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema kuwa mgombea urasi wa Marekani wka tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump si Mkristo.