-
Trump arudia kutamka bila ya aibu kuwa amejitolea 'kuinunua Ghaza na kuifanya milki' ya Marekani
Feb 10, 2025 06:59Rais wa Marekani Donald Trump amerudia tena bila ya aibu kutoa pendekezo lake tata la kulinyakua na kulidhibiti eneo la Ukanda wa Ghaza, akisema amejitolea "kulinunua na kulimiliki" eneo hilo lililoharibiwa na vita.
-
Ujerumani yakosoa vikali hatua ya Trump ya kuiwekea vikwazo ICC
Feb 08, 2025 11:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amekosoa vikali hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Dunia yaalani vikwazo vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC/ Netanyahu ashukuru
Feb 08, 2025 07:58Nchi 79 duniani zimelaani vikwazo vya serikali ya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya mjini The Hague, Uholanzi.
-
Donald Trump na kuanza tena sera iliyofeli ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Feb 06, 2025 12:27Jumanne ya Februari 4, 2025, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini hati ya utendaji ili kuendeleza sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran na kudai kwamba, "Yuko tayari kuzungumza na rais wa Iran."
-
Arab League yapinga njama za Trump za kuipora Ghaza
Feb 06, 2025 06:55Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), imepinga njama mpya za rais wa Marekani, Donald Trump za kutaka kuipora Ghaza na kuwaondoa Wapalestina kwenye eneo lao hilo. Arab League imesema, mpango huo wa Trump ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Kwa nini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo
Feb 06, 2025 02:31Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.
-
Hatua ya Trump yaitafakarisha Kenya juu ya operesheni ya Haiti
Feb 05, 2025 12:18Kenya imesema imeanzisha mchakato wa kubadilisha ujumbe wake wa usalama ulioko Haiti kuwa operesheni ya Umoja wa Mataifa, baada ya Marekani kusimamisha ufadhili kwa ujumbe huo.
-
Amnesty: Hatua ya Marekani ya kumkaribisha Netanyahu ni kudharau haki na uadilifu wa kimataifa
Feb 05, 2025 06:59Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limelaani kitendo cha Marekani cha kumpokea waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu.
-
WHO yajibu tuhuma za US: Hatuegemei upande wa nchi yoyote mwanachama, tunazingatia sayansi
Feb 04, 2025 10:32Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesisitiza kuwa shirika hilo haliegemei upande wa nchi yoyote mwanachama na kwamba limeanzishwa kwa ajili ya kuhudumia nchi zote na watu wote.
-
Kuongezeka mashinikizo dhidi ya watetezi wa Palestina nchini Marekani katika muhula wa pili wa urais wa Trump
Feb 04, 2025 09:10Kwa kuanza muhula wa pili wa urais wa Donald Trump, pamoja na vitisho na hatua za serikali yake dhidi ya waungaji mkono wa Palestina, mashinikizo dhidi ya watu hao na harakati za ndani ya nchi hiyo pia zimeongezeka kwa kiasi kikubwa.