-
Arab League yapinga njama za Trump za kuipora Ghaza
Feb 06, 2025 03:25Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), imepinga njama mpya za rais wa Marekani, Donald Trump za kutaka kuipora Ghaza na kuwaondoa Wapalestina kwenye eneo lao hilo. Arab League imesema, mpango huo wa Trump ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Kwa nini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo
Feb 05, 2025 23:01Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.
-
Hatua ya Trump yaitafakarisha Kenya juu ya operesheni ya Haiti
Feb 05, 2025 08:48Kenya imesema imeanzisha mchakato wa kubadilisha ujumbe wake wa usalama ulioko Haiti kuwa operesheni ya Umoja wa Mataifa, baada ya Marekani kusimamisha ufadhili kwa ujumbe huo.
-
Amnesty: Hatua ya Marekani ya kumkaribisha Netanyahu ni kudharau haki na uadilifu wa kimataifa
Feb 05, 2025 03:29Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limelaani kitendo cha Marekani cha kumpokea waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu.
-
WHO yajibu tuhuma za US: Hatuegemei upande wa nchi yoyote mwanachama, tunazingatia sayansi
Feb 04, 2025 07:02Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesisitiza kuwa shirika hilo haliegemei upande wa nchi yoyote mwanachama na kwamba limeanzishwa kwa ajili ya kuhudumia nchi zote na watu wote.
-
Kuongezeka mashinikizo dhidi ya watetezi wa Palestina nchini Marekani katika muhula wa pili wa urais wa Trump
Feb 04, 2025 05:40Kwa kuanza muhula wa pili wa urais wa Donald Trump, pamoja na vitisho na hatua za serikali yake dhidi ya waungaji mkono wa Palestina, mashinikizo dhidi ya watu hao na harakati za ndani ya nchi hiyo pia zimeongezeka kwa kiasi kikubwa.
-
Vita baina ya Marekani na Canada sasa vyaingia michezoni; wimbo wa taifa wa Marekani wazomewa
Feb 03, 2025 07:01Mashabiki wa michezo wa Canada wamekuwa wakizomea wimbo wa taifa wa Marekani kila unapopigwa katika mechi mbalimbali ikiwa ni kuonesha hasira zao kwa amri ya rais wa Marekani Donald Trump ya kutozwa ushuru mkubwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kutokea Canada.
-
Jeshi la Tanzania lathibitisha kuuwa askari wake wawili DRC, Rwanda yakaribisha kujadiliwa mzozo
Feb 03, 2025 02:23Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza kuwa, wanajeshi wake wawili ni miongoni mwa askari 20 wa kulinda amani waliouawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Ushuru wa Trump: Canada na Mexico zajibu mapigo, China yaonya
Feb 02, 2025 22:57Canada, Mexico na China zimeapa kujibu mapigo ya uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani, wa kutoza ushuru wa juu kwa mataifa hayo matatu, na kuisukuma Washington katika vita vya kibiashara na nchi mbili jirani, na China yenye nguvu kubwa.
-
Wamisri wakusanyika mbele ya Kivuko cha Rafah, wakipinga kuhamishwa Wapalestina wa Gaza
Jan 31, 2025 23:01Raia wa Misri walikusanyika jana Ijumaa mbele ya kivuko cha mpakani cha Rafah na Ukanda wa Gaza wakipinga pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwafukuza Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza na kuwapeleka nje ya nchi yao.