-
Trump atoroka baada ya ufyatuaji risasi kwenye dhifa ya waandishi wa habari wa White House
Apr 26, 2026 09:16Rais wa Marekani, Donald Trump na mkewe, Melania, waliondolewa kwenye Dhidi ya Waandishi wa Habari wa Ikulu ya White House (WHCA) baada ya ripoti za milio ya risasi kusababisha uingiliaji wa haraka wa Jeshi la Polisi.
-
Vita vya maneno vya Trump dhidi ya Papa, chanzo na matokeo yake
Apr 22, 2026 16:24Tofauti zilizozuka kati ya Trump na Papa Leo wa 14 hazitokani na masuala ya kisiasa pekee, lakini zimesababishwa zaidi na hulka ya majivuno na ya kujikweza aliyonayo rais huyo wa sasa wa Marekani.
-
Wamarekani: Upungufu wa akili wa Trump umeongezeka
Apr 19, 2026 10:39Mshauri wa Mkuu wa zamani mkuu wa Ikulu ya White House wakati wa muhula wa kwanza wa Donald Trump ameonya kuwa upungufu wa akili wa rais wa Marekani umeongezeka kwa kiasi kikubwa.
-
Kinara wa Liberal Democrats Uingereza asema Trump ni jambazi fisadi na hatari
Apr 15, 2026 08:12Mwanasiasa wa Uingereza amemtaja Donald Trump, rais wa Marekani, kuwa jambazi fisadi na hatari, na kusisitiza kuwa kitendo chake cha kuzingira Mlango-Bahari wa Hormuz kinaweza kuhatarisha usitishaji mapigano dhaifu kati ya Tehran na Washington.
-
"Israel inadanganya, Iran haitutishii": Afisa wa ujasusi aliyeteuliwa na Trump ajiuzulu kwa sababu ya vita na Iran
Mar 18, 2026 04:57Mkuu wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi nchini Marekani amejiuzulu baada ya kufichua yanayojiri nyuma ya pazia kuhusu vita vya nchi hiyo na Israel dhidi ya Iran.
-
Daily Mail: Trump amekwama kwenye kinamasi
Mar 16, 2026 10:32Gazeti la Daily Mail linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa Iran imethibitisha kuwa ina nguvu na imejiandaa vizuri sana kuliko vile ilivyokuwa ikidhaniwa na Marekani.
-
Larijani: Asia Magharibi itatumbukia gizani US ikishambulia mtandao wa umeme wa Iran
Mar 13, 2026 03:29Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ametoa onyo kali akijibu vitisho vipya vilivyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu kushambulia giridi ya taifa ya umeme wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Pezeshkian amhutubu Trump: Wavamizi huja na kwenda, lakini Iran itabaki
Mar 11, 2026 04:34Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amekosoa vikali vitisho vya kukaririwa vya Rais wa Marekani, Donald Trump kwamba ataisambaratisha Iran, akisiitiza kuwa, wavamizi na waharibifu mithili Trump walikuja na wakaondoka, lakini Iran imeendeelea kubakia.
-
Mchambuzi wa Kirusi: Kuishambulia kijeshi Iran kutakuwa na mwisho wa kufedhehesha kwa Trump
Mar 06, 2026 04:01Mkuu wa kituo cha tafiti maalumu za michakato ya kisiasa cha Russia amesema, uvamizi wa kijeshi ulioanzishwa na Marekani na utawala wa kizayuni dhidi ya Iran unafanyika kinyume cha sheria na akabainisha: “baada ya kuanza hujuma hii tumeshuhudia kuimarika umoja wa wananchi wa Iran kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa”.
-
Wimbi jipya la upinzani dhidi ya vita nchini Marekani; dalili ya kudhoofika zaidi Trump
Feb 28, 2026 02:11Kadiri matamshi ya kivita yanavyozidi kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, pamoja na baadhi ya maafisa wa utawala wake, wimbi jipya la upinzani dhidi ya uwezekano wa a vita vya kichochezi vya Marekani dhidi ya Iran limeanza kushika kasi.