-
Trump na misimamo ya undumakuwili kuhusu magaidi wa Daesh (ISIS)
Oct 15, 2019 04:40Licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kutoa onyo kuhusiana na kuibukka upya shughuli za kundi la kigaidi la Daesh (ISIS), kitendo cha kuondoa askari wa Kimarekani katika maeneo yanayoshambuliwa na Uturuki huko kaskazini mwa Syria, kimeandaa uwanja wa kufufuka upya kundi hilo la ukufurishaji ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jenerali wa zamani wa Marekani: Trump ni muhusika wa mauaji kaskazini mwa Syria
Oct 15, 2019 01:15Kamanda wa zamani wa majeshi ya Marekani nchini Afghanistan amebainisha kwamba, Rais Donald Trump wa Marekani ni muhusika wa mgogoro na mauaji kaskazini mwa Syria.
-
Kujitoa Trump katika JCPOA; ni katika kuiunga mkono Israel
Oct 13, 2019 08:40Rais wa Marekani amekiri kuwa alijitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa sababu ya kuiunga mkono Israel.
-
Kutuma Pentagon wanajeshi na zana mpya za kijeshi nchini Saudi Arabia; harakati ya kimaonyesho
Oct 12, 2019 22:54Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akidai kwamba anawaunga mono na kuwahami waitifaki wake katika eneo la Ghuba ya Uajemi. Katika uwanja huo, Saudi Arabia ikiwa mshirika mkuu wa Washingtn katika eneo hili, ina nafasi maalumu katika siasa za kikanda za serikali ya Trump.
-
Kuna uwezekano mwanadiplomasia wa serikali ya Trump akatoa ushahidi dhidi yake
Oct 11, 2019 04:46Duru za habari za kuaminika katika Kongresi ya Marekani zimearifu kuwa kuna uwezekano mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Ulaya akatoa ushahidi dhidi ya Trump kuhusu kashfa ya Ukraine Gate.
-
Jimmy Carter aunga mkono mchakato wa kumuuzulu Trump
Oct 09, 2019 10:27Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy carter ambaye awali alikuwa mpinzani wa zoezi la aina yoyote la kumsaili na kumuuzu rais wa sasa wa nchi hiyo Donald Trump, amejiunga na kambi inayotaka kuanzishwa zoezi la kumuuzulu kiongozi huyo.
-
Jarida la Newsweek: Trump ameogopa vitisho vya Rais Erdoğan wa Uturuki kuhusu Syria
Oct 08, 2019 23:03Jarida la Newsweek la Marekani limemnukuu mmoja wa viongozi wa serikali ya nchi hiyo akisema kuwa, Rais Donald Trump amesalimu amri mbele ya matakwa ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki kuhusiana na Syria na kuyakubali bila ya pingamizi lolote.
-
Kiongozi wa waliowengi katika Seneti ya Marekani aapa kumkingia kifua Trump asiuzuliwe
Oct 07, 2019 15:16Seneta Mitch McConnell, kiongozi wa Warepublican waliowengi katika Seneti ya Marekani amesema, anamuunga mkono Rais Donald Trump na kuahidi kwamba atasimamisha mchakato wa kumuuzulu kiongozi huyo.
-
Kuvunjika mzungumzo ya nyuklia kati ya Marekani na Korea Kaskazini
Oct 07, 2019 06:29Rais wa Marekani Donald Trump wa Marekani, anaendelea na siasa za vitisho na mazungumzo katika fremu ya ahadi zake za uchaguzi za kuutatua mgogoro wa nyuklia wa Rasi ya Korea.
-
Mratibu mkuu wa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kujiuzulu hivi karibuni
Oct 03, 2019 01:09Gazeti la Kimarakeni la Wall Street Journal limeripoti habari ya kujiuzulu hivi karibuni mratibu mkuu wa vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Wizara ya Fedha ya Marekani.