-
Trump aupiga veto muswada wa Congress wa kupiga marufuku uuzaji silaha kwa Saudia na Imarati
Jul 25, 2019 21:06Katika juhudi za kuzifanya siasa zake za nje kuwa za kibiashara zaidi, Rais Donald Trump wa Marekani amelipa kipaumbele suala la mauzo ya silaha za nchi hiyo.
-
Trump avunja rekodi ya kusema uongo
Jul 24, 2019 07:49Kanali ya televisheni ya CNN imeanzisha kampeni maalumu ya kutathmini ukweli na uongo wa matamshi anayotoa rais wa Marekani Donald Trump na kuripoti kuwa katika muda wa wiki moja iliyopita kiongozi huyo amesema uongo mara 61.
-
Trump: Ni vigumu sana kufikia makubaliano na Iran
Jul 23, 2019 00:08Rais Donald Trump wa Marekani ambaye baada ya nchi yake kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA alitaka kufanyika mazungumzo mapya na Iran, ingawa hakupata jibu chanya kutoka kwa Tehran, sasa amesema kuwa kufikiwa makubaliano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni suala gumu sana.
-
Trump: Kwa sasa hatuna mapango wa kuiwekea vikwazo Uturuki
Jul 19, 2019 22:01Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, kwa sasa serikkali ya Washington haina mpango wa kuiwekea vikwazo Uturuki.
-
Congress ya Marekani yapasisha muswada wa kupiga marufuku mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati.
Jul 19, 2019 21:56Katika juhudi za kuwaunga mkono washirika wake wa kieneo na kunufaika kifedha na mauzo ya silaha, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ilitangaza hali ya hatari bandia ya kitaifa kwa lengo la kukwepa vikwazo vya kisheria vya bunge la nchi hiyo na hivyo kupata mwanya wa kuziuzia Saudia, Imarati na Jordan silaha za thamani ya dola bilioni 8.
-
Araqchi: Labda Wamarekani wametungua droni yao wenyewe kwa kudhani ni ya Iran
Jul 19, 2019 03:08Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu madai ya rais wa Marekani ya kwamba meli ya kivita ya nchi hiyo eti imetungua ndege isiyo na rubani ya Iran katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kusema kuwa, pengine Wamarekani wametungua droni yao wenyewe kwa kudhani ni ya Iran.
-
Kauli hasi ya Trump kwa sababu ya kupatiwa Uturuki vifaa vya mfumo wa makombora wa S-400 wa Russia
Jul 17, 2019 21:50Uamuzi wa Uturuki wa kununua mfumo wa kisasa wa makombora ya ulinzi wa anga wa S-400 kutoka Russia umezusha mikwaruzano mikubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa katika uhusiano wa Uturuki na Marekani.
-
Dunia yamlaani Trump kwa kuwatukana wabunge wanawake wa Marekani
Jul 16, 2019 02:54Viongozi na wanasiasa kote duniani wameendelea kumlaani Rais Donald Trump wa Marekani kwa kuwadhalilisha na kuwatukana matusi ya kibaguzi wabunge wanawake wa chama cha Democrat katika Kongresi ya Marekani.
-
Waziri wa zamani wa ulinzi wa Marekani: Madai ya nyuklia ya Trump dhidi ya Iran ni urongo mtupu
Jul 15, 2019 02:44Waziri wa zamani wa ulinzi wa Marekani William Perry amesema, madai aliyotoa rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba Iran inaendelea kurutubisha urani kwa siri ni urongo mtupu.
-
Nyaraka: Trump aliiondoa Marekani JCPOA ili kumuudhi Obama
Jul 14, 2019 02:02Balozi wa Uingereza mjini Washington aliyejiuzulu siku chache zilizopita baada ya kuhitalifiana na kushambuliana kwa maneno na Donald Trump amesema rais huyo wa Marekani aliiondoa nchi hiyo katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa lengo la kumuudhi mtangulizi wake, Barack Obama.