-
Mwandishi wa habari asema Trump alimbaka miaka ya 1990
Jun 22, 2019 08:42Rais Donald Trump wa Marekani anaandamwa na kashfa nyingine ya ufuska baada ya mwanadishi wa habari kwa jina E. Jean Carroll, kufichua kuwa kiongozi huyo wa Marekani wakati huo akiwa mjasiriamali alimbaka katikati ya miaka 90.
-
Wajumbe wa Kongresi ya Marekani wamuonya Trump juu ya chokochoko zozote dhidi ya Iran
Jun 21, 2019 03:24Wawakilishi wanne wa Bunge la Kongresi nchini Marekani wamemuonya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuchukua hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran kufuatia kutunguliwa na jeshi la Iran ndege yake ya ujasusi Alkhamisi ya jana, baada ya rais huyo kutoa radiamali kuhusiana na kadhia hiyo.
-
Trump atoa radiamali kufuatia kuatunguliwa droni ya kijasusi ya Marekani
Jun 21, 2019 00:19Rais Donald Trump wa Marekani ametoa radiamali ya kwanza kufuatia kutunguliwa na mfumo wa makombora wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Marekani ambapo amedai kwamba, eti Iran imefanya kosa kubwa.
-
Wafanyabiashara wa Kipalestina wasusia mkutano wa Trump, Bahrain
Jun 21, 2019 00:08Wafanyabiashara na wawekezaji mashuhuri wa Kipalestina wametangaza bayana kuwa hawatoshiriki mkutano wa 'kiuchumi wa Manama' nchini Bahrain ulioitishwa na Marekani, wenye lengo la kuzindua 'Muamala wa Karne', wakisisitiza kuwa kile ambacho Wapalestina wanahitajia ni uhuru wao na wala sio fedha.
-
Trump awataka washauri wake wajiepushe na matamshi makali ya kupenda vita dhidi ya Iran
Jun 20, 2019 06:50Rais Donald Trump wa Marekani amewataka washauri wake wajiepushe na matamshi makali ya kichochezi na ya kupenda vita dhidi ya Iran.
-
Hamas: Trump hawezi kuwatenganisha Wapalestina na Quds Tukufu
Jun 20, 2019 06:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa muamala wa karne hauwezi kuwapokonya Wapalestina mji wa Quds (Jeruusalem) ambao unakaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Bernie Sanders: Trump ni rais hatari zaidi kuwahi kutawala katika historia ya Marekani
Jun 19, 2019 22:15Seneta mmoja mashuhuri nchini Marekani amesema kuwa, nchi hiyo haijawahi kupata rais hatari zaidi kushinda Donald Trump katika historia yake yote.
-
Trump aahidi kuponya Ukimwi na kuwapeleka Wamarekani sayari ya 'Mars' akichaguliwa tena
Jun 19, 2019 03:18Rais Donald Trump wa Marekani ameahidi kuwa iwapo atashinda muhula wa pili katika uchaguzi wa rais mwaka ujao, basi utawala wake utatoa tiba ya maradhi hatari ya saratani na Ukimwi.
-
Wamarekani waandamana katika miji 130 wakitaka Rais Donald Trump asailiwe
Jun 16, 2019 09:07Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji tofauti inayokaribia 130 wakitaka Rais Donald Trump wa nchi hiyo asailiwe.
-
Kundi la Haftar lapinga mazungumzo ya amani mpaka "liiteke" Tripoli
Jun 13, 2019 22:03Aguila Saleh, Spika wa Bunge la Tobruk linalomuunga mkono Khalifa Haftar huko Libya amesema kuwa hawatoshiriki katika mazungumzo yoyote ya amani hadi pale watakaooipindua serikali ya Umoja wa Kitaifa na kuiteka Tripoli, mji mkuu wa Libya.