Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Uropokaji mpya wa Trump dhidi ya Iran

    Uropokaji mpya wa Trump dhidi ya Iran

    Jun 13, 2019 06:50

    Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akichukua misimamo ya chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni amekuwa akitumia stratijia ya 'mashinikizo ya juu zaidi' kuilazimisha Iran ikubali matakwa yake ya kidhalimu.

  • Ufaransa yakosoa mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Ufaransa yakosoa mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Jun 11, 2019 00:51

    Licha ya juhudi kuibwa zinazofanywa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kufanikisha mpango wa 'Muamala wa Karne' ambao unalenga kudhamini maslahi ya utawala haramu wa Israel kwa madhara ya Wapalestina, lakini washirika wa Ulaya wa Washington ikiwemo Ufaransa, wanaendelea kuukosoa mpango huo.

  • Viongozi wa Russia na China wasisitiza kuendelea kuheshimiwa mapatano ya JCPOA, walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Viongozi wa Russia na China wasisitiza kuendelea kuheshimiwa mapatano ya JCPOA, walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 06, 2019 22:39

    Russia na China zikiwa nchi mbili muhimu wanachama wa kundi la 4+1 daima zimekuwa zikisisitiza udharura wa kulindwa mapatano ya kimataifa ya JCPOA na wakati huohuo kupinga vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran.

  • Seneti ya Marekani yaanzisha mchakato wa kuzuia uuzaji wa silaha kwa Saudia

    Seneti ya Marekani yaanzisha mchakato wa kuzuia uuzaji wa silaha kwa Saudia

    Jun 06, 2019 02:11

    Maseneta wa Marekani wamewasilisha katika Kongresi ya nchi hiyo muswada unaotaka kuzuia mauzo ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 8.1 kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, yaliyoidhinishwa hivi karibuni na utawala wa Rais Donald Trump bila idhini ya Kongresi.

  • Waziri kivuli wa Uingereza: Donald Trump ni mbaguzi

    Waziri kivuli wa Uingereza: Donald Trump ni mbaguzi

    Jun 05, 2019 22:01

    Waziri kivuli wa mambo ya nje wa Uingereza amemkosoa vikali Rais Donald Ttump wa Marekani na kumtaja kuwa ni mbaguzi na muwindaji wa ngono.

  • Donald Trump akaribishwa kwa maandamano mjini London Uingereza

    Donald Trump akaribishwa kwa maandamano mjini London Uingereza

    Jun 03, 2019 08:12

    Rais Donald Trump wa Marekani amewasili katika mji mkuu wa Uingereza huku kukiwa na maandamano makubwa ya wananchi wenye hasira wanaompinga kiongozi huyo.

  • Uingiliaji wa wazi wa serikali ya Trump katika masuala ya ndani ya Uingereza

    Uingiliaji wa wazi wa serikali ya Trump katika masuala ya ndani ya Uingereza

    Jun 02, 2019 23:49

    Sambamba na kujiuzulu Theresa May, Waziri Mkuu wa Uingereza kutokana na kushindwa kutatua kadhia ya Brexit, hivi sasa Rais Donald Trump wa Marekani na maafisa wa serikali yake wanafanya jitihada za kubadilisha matukio ya nchi hiyo ya kisiwa barani Ulaya, yaendane na malengo ya Washington.

  • Ujumbe unaokinzana wa Trump kwa Iran

    Ujumbe unaokinzana wa Trump kwa Iran

    May 30, 2019 21:52

    Rais Donald Trump wa Marekani siku zote amekuwa na misimamo ya kihasama na kiadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na daima anasisitiza suala la kuzidisha masihinizo dhidi ya Tehran kwa shabaha ya kuilazimisha kukubali matakwa ya Washington.

  • Raia wa Jordan waandamana kupinga safari ya mkwe wa Trump nchini kwao

    Raia wa Jordan waandamana kupinga safari ya mkwe wa Trump nchini kwao

    May 29, 2019 23:12

    Raia wa Jordan wamefanya maandamano kupinga safari ya Jared Kushner, mkwe wa Rais Donald Trump wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi ambapo wamepiga kambi mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Amman.

  • Trump abadilisha kauli yake kuhusu Iran, ombi la mazungumzo mkabala wa msimamo wake wa awali wa vitisho

    Trump abadilisha kauli yake kuhusu Iran, ombi la mazungumzo mkabala wa msimamo wake wa awali wa vitisho

    May 28, 2019 02:42

    Rais Donald Trump wa Marekani, iwe ni katika zama za kampeni za uchaguzi au baada ya kuingia Ikulu ya White House Januari 2017, amekuwa akifuatilia sera ya kuudhoofisha au kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS