Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Zarif akimhutubu Trump; Kiongozi Muadhamu ameshatangaza silaha za nyuklia ni haramu

    Zarif akimhutubu Trump; Kiongozi Muadhamu ameshatangaza silaha za nyuklia ni haramu

    May 27, 2019 23:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu usiku amejibu madai ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwa eti Iran inafuatilia silaha za nyuklia na kusema, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshatangaza kuwa silaha za nyuklia ni haramu.

  • Safari ya Trump Japan, Washington kuitumia Tokyo kuanzisha tena mazungumzo na Korea Kaskazini

    Safari ya Trump Japan, Washington kuitumia Tokyo kuanzisha tena mazungumzo na Korea Kaskazini

    May 26, 2019 21:51

    Rais Donald Trump wa Marekani anafanya safari ya siku tatu nchini Japan.

  • Jitihada za Marekani za kuzidisha mivutano katika eneo la Asia  magharibi

    Jitihada za Marekani za kuzidisha mivutano katika eneo la Asia magharibi

    May 25, 2019 21:55

    Rais Donald Trump wa Marekani tangu aingie madarakani amekuwa akitoa zingatio makhusi kwa eneo la Asia Magharibi na khususan eneo la Ghuba ya Uajemi; na hata safari yake ya kwanza nje ya nchi ilikuwa nchini Saudi Arabia, ili kuonyesha umuhimu wa eneo hili katika siasa za nje za Marekani na nafasi ya washirika wa Washington katika eneo. Bila shaka Trump mara kadhaa amekuwa akiutaja utawala wa Saudia kuwa ni ng'ombe wa kukamwa.

  • Trump aziuzia Saudia, UAE silaha za dola bilioni 8 bila idhini ya Kongresi ya Marekani

    Trump aziuzia Saudia, UAE silaha za dola bilioni 8 bila idhini ya Kongresi ya Marekani

    May 25, 2019 03:19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amethibitisha kuwa serikali ya Washington imeidhinisha mauzo ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 8.1 kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, bila idhini ya Kongresi ya nchi hiyo.

  • Ilhan Omar: Trump ni mwendawazimu na mtu aliyechanganyikiwa

    Ilhan Omar: Trump ni mwendawazimu na mtu aliyechanganyikiwa

    May 25, 2019 02:26

    Mbunge wa Kongresi ya Marekani, Ilhan Omar amemtaja Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuwa ni mwendawazimu, mtu asiye wa kawaida, aliyechanganyikiwa na mwenye huzuni.

  • Matusi ya Trump dhidi ya taifa la Iran, mgongano katika misimamo ya Washington

    Matusi ya Trump dhidi ya taifa la Iran, mgongano katika misimamo ya Washington

    May 24, 2019 23:02

    Baada ya kuingia Ikulu ya White House mnamo mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani bila kupoteza wakati ilichukua msimamo wa kudhoofisha na ikiwezekana kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kufungwa UNRWA; takwa jipya la Marekani dhidi ya Palestina

    Kufungwa UNRWA; takwa jipya la Marekani dhidi ya Palestina

    May 24, 2019 00:11

    Rais Donald Trump wa Marekani alipoingia katika ikulu ya nchi hiyo White House, alichukua msimamo wa kuiunga mkono Israel bila ya masharti yoyote na wakati huo huo kudhihirisha uhasama wa waziwazi dhidi ya Wapalestina.

  • Seneta: Trump anatumia Iran kama kisingizio cha kuiuzia Saudia mabomu zaidi

    Seneta: Trump anatumia Iran kama kisingizio cha kuiuzia Saudia mabomu zaidi

    May 23, 2019 23:13

    Seneta mmoja wa Marekani ameonya kuwa, yumkini Rais Donald Trump akatumia kisingizio cha taharuki kati ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama kisingizo cha kuiuzia Saudi Arabia mabomu mapya, bila idhini ya Kongresi ya nchi hiyo.

  • Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA

    Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA

    May 22, 2019 05:18

    Mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la JCPOA yalifikiwa mwezi Julai 2015 mjini Vienna Austria baina ya Iran na kundi la 5+1 lililojumuisha nchi za Marekani, Uingereza, Ufaransa, Russia, China pamoja na Ujerumani na Umoja wa Ulaya. Mapatano hayo yalianza kutekelezwa mwezi Januari 2016.

  • Kutangazwa msimamo wa Russia wakati wa kukaribia uzinduzi tarajiwa wa mpango wa

    Kutangazwa msimamo wa Russia wakati wa kukaribia uzinduzi tarajiwa wa mpango wa "Muamala wa Karne"

    May 20, 2019 03:34

    Utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuzingatia himaya na uungaji mkono wa pande zote wa Rais Donald Trump wa Marekani umekuwa ukitekeleza mashinikizo ambayo hayajawahi kushudiwa dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina na kufanya mambo kinyume kabisa na sheria za kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS